Mwambie kesho kocha apange kikosi B, golikipa adake manula!
Kina mpanzu, kamala، kibu, mkwara, ngoma, malon na nyota wengine wapumzike!
Mwambieni atumie kikosi B si mnajua simba ina kikosi kipana!
Mfikishieni ujumbe kwamba sisi mashabiki tunamuomba awapumzishe nyota ,,, aache vijana wengine wacheze!
Mpeni nafasi ARAJIGA PIA Msipinge kwa maamuzi yoyote!
Akijipendekeza mtu kwenye box pigeni buti kupima stamina zao wapinzani!
Ili Tarehe 15 june tukutane kwa mkapa!
Huko kwingine waacheni wacheze mtu na mwanae!
Kesho wekeni kikosi B halafu nimeaambiwa kesho ARAJIGA anataka kujisafisha!
Simba msitumike kumsafisha!
Wekeni kikosi B NA MABEKI wapige buti wasilembe ndani ya box la simba!