Mfikishieni ujumbe kocha wa simba kwamba kesho awapumzishe nyota mhimu apange kikosi B kucheza CRDB, mpeni manula adake

simba wameamua wafungwe kwa uoga.wa kukutana na yanga. hahahahahahahahahahahahaha.......
nyie..! nyie..! nyie....!
 
Tunataka ulete timu kwa mkapa ...
Anayetakiwa kuleta timu kwa mkapa ni Simba ambaye ni mgeni sio Yanga. Hiyo mechi inaenda kupigwa Amani Complex.

Kiuhalisia Simba ya kuifunga Yanga kwa sasa bado haijaundwa labda tusubiri msimu ujao Arteta atasemaje
 
Uwanja wa taifa upo unakimbilia Azam ambako uliwasimanga ukaja KMC!
Kwenye yanga nyuma mwiko
 
Nyie ndio mnayadhibitisha maneno ya Rage Mikia. Soma vizuri nilichoandika na ulichoandika. Usikurupuke unawaabisha madunduka wenzio
 
Back
Top Bottom