Kajivunja hiyo.Amekusikia nawanaongoza game kwasasa, pia nasikia Camara anatatizo
Yes hilo crdb tungeshinda wangetumia mwanya kuwa kisingizio cha kutokucheza NBCAmekusikia nawanaongoza game kwasasa, pia nasikia Camara anatatizo
Lakini wamecheza kama kikosi B malengo yetu yatimie had walete timuWamepanga kikosi A!
Duuu umetishaLakini wamecheza kama kikosi B malengo yetu yatimie had walete timu
Sasa simba ingeshida wale jamaa wangepata uhalali wa kugomea huku nbc kwa kisingizio wamecheza daby crdbDuuu umetisha
Ndo mnavyojidanganya hivyo?Sasa simba ingeshida wale jamaa wangepata uhalali wa kugomea huku nbc kwa kisingizio wamecheza daby crdb
Hehe tukutane tarehe 15Ndo mnavyojidanganya hivyo?
Kwahiyo leo mmefungwa hili mumuingize mtegoni Yanga tarehe 15?Hehe tukutane tarehe 15
Ndio mnamwandalia njia ya hiyo 15/06?Mwambie kesho kocha apange kikosi B, golikipa adake manula!
Kina mpanzu, kamala، kibu, mkwara, ngoma, malon na nyota wengine wapumzike!
Mwambieni atumie kikosi B si mnajua simba ina kikosi kipana!
Mfikishieni ujumbe kwamba sisi mashabiki tunamuomba awapumzishe nyota ,,, aache vijana wengine wacheze!
Mpeni nafasi ARAJIGA PIA Msipinge kwa maamuzi yoyote!
Akijipendekeza mtu kwenye box pigeni buti kupima stamina zao wapinzani!
Ili Tarehe 15 june tukutane kwa mkapa!
Huko kwingine waacheni wacheze mtu na mwanae!
Kesho wekeni kikosi B halafu nimeaambiwa kesho ARAJIGA anataka kujisafisha!
Simba msitumike kumsafisha!
Wekeni kikosi B NA MABEKI wapige buti wasilembe ndani ya box la simba!
Now you sayKwahiyo leo mmefungwa hili mumuingize mtegoni Yanga tarehe 15?