Wewe ndio umeona ukweli, watawala hao , PM ni koti tuu basically indespensableSynthesizer,
TANROADS ni untouchable institution. tambueni Hilo na kuweni wavumilivu .barabara ya Geita kahama ukiiona na kuipita utaamini usemi huu
'mhanila1,Synthesizer,
Mi naona kuna tatizo kubwa zaidi kwanza kumekuwa na maagizo yanayotolewa kuwa ondoa mtu fulani pale au pale wakati huyo mtu kiutendaji haripoti kwa huyo anayeelekeza aomdolewe.
Utaratibu mtu kama utendaji wake una mapungufu yanaonekana na boss wake anayemsimamia sasa anapotokea kiongozi wa juu anaruka wasimamizi anakwenda kuondoa mtu ambaye siyo yeye anayemsimamia haieleweki ametumia utawalam gani kuona mapungufu ya mtu ambaye hasimamiwi na yeye na hivyo kuwajengea hofu watendaji wa chini bila sababu.
Kama Waziri Mkuu angekuwa yuko makini alitakiwa kumuondoa yule anayeripoti kwake moja kwa moja kuhusiana na hayo na kama hana mamlaka ya uteuzi wa huyo mtu angeweza kuelekeza mamlaka ya uteuzi lakini siyo kumwambia waziri ondoa yule pale kwani huyo Waziri hamuoni huyo mtu utendaji wake hadi asubiri kuelekezwa na Waziri Mkuu.
Hiwezekani kiongozi wa juu aniagize mimi nimfukuze msaidizi wangu wakati sioni mapungufu ya utendaji wake wa kazi na yeye bosi wangu hawezi kuona mapungufu ya msaidizi wangu yeye ataona mapungufu ya mimi na ana haki ya kuniwajinisha mimi kwa mapungufu anayoyaona na siyo kuniruka mimi na kuanza kuwajibisha mtu wa chini yangu Hiyo siyo sahihi.
Mimi kwa hili nasimama na Mfugale, nina imani litaondoa hofu kwa wafanyakazi wa Ngazi ya kati kufanywa kafara wa kila pungufu linapotokea wakati katika uhalisia hakuna mapungufu yoyote yanayokuwa yamenainishwa na viongozi wao isipokuwa kusema wanatekeleza maagizo kutoka juu kama vile kuna chuki tu binafsi kwa baadhi ya watendaji wa kati.
Inamaana wewe unataarifa kamili kuliko Waziri Mkuu kuhusu hizo barabara? Si hao hao watendaji ndio wanaomtaarifu Waziri Mkuu juu ya mpangilio wa utengenezaji wa hizo barabara?Hakukuwa na haja ya kumwondoa huyo meneja, kwani serikali inafahamu fika hiyo barabara inahitaji matengenezo upya kwasababu ya umri na pia imechoka, hata wangepeleka report ya ukaguzi unaweza kuta wangeambiwa wangoje, kwani miradi mingapi ipo kwenye foleni.
Mambo mengine yakitokea watu hapata sehemu ya kutafutia sababu hata kama hazina mashiko.
Nina hakika una maana ya kinyume ya hilo neno 'indespensable'Wewe ndio umeona ukweli, watawala hao , PM ni koti tuu basically indespensable
msisahau kua Mfugale kama bosi wa TANROAD anayo mamlaka ya kumteua mtu yeyote mwenye utaalamu kushughulikia Sight Fulani kwa hiyo PM hakupaswa kuuliza uwepo wa mtaalamu sight bali angeuliza ucheo wa huyo mtaalamu na ofisi mambo ya sight mwachie mtaalamu wewe angalia end result tu.
sasa huo unaitwa uchonganishi hakuna mahala ambapo Eng. Mfugale amewavimbia PM na Waziri wake isipokuwa alielezea umuhimu wa Andalwisye kutumiwa katika utaalam wa ujenzi wa Daraja hilo, kumbuka tu kwamba Pale hakukuwa na Daraja wakati mwingine tuwache mihemko ya hapa na pale.Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na kurudishwa wizarani kupangiwa kazi nyingine. Wazirir Mkuu alikasirishwa na kitendo hicho kwa kuwa fedha za kufanyia ukaguzi zilikuwapo na alibainisha kwamba daraja hilo lingefanyiwa ukaguzi lisingevunjika.
Aliporudi Morogoro kuangalia maendeleo ya kazi, Waziri Mkuu ameshangaa kukuta meneja wa Tanroads Morogoro bado hajaondolewa. Alikerwa na hilo na kuuliza kwa nini meneja huyo bado hajaondolewa licha ya agizo lake. Kwa kujiamini kabisa, Mfugale alimjibu Waziri Mkuu kwamba "Andalwisye ni mmoja wa mainjinia wachache wenye utaalamu wa ujenzi wa madaraja, kwa hiyo huduma yake bado inahitajika hapa. Wewe ulitoa agizo na mimi ndio mtekelezaji, lakini bado tunahitaji utaalamu wake".
Ukweli ni kwamba si kweli kwamba Tanzania hatuna mainjinia wa kutosha wa ujenzi wa madaraja. Wapo wengi sana. Na tangu lini amri ya Waziri Mkuu inapingwa kwa sababu anaetuhumiwa anaonekana bado anahitajika? Watumishi wangapi wanaondolewa kwa amri toka juu licha ya utumishi wao kuhitajika?
Waziri Mkuu ni kiongozi anamuwakilisha Raisi kiutendaji. Je Raisi Magufuli anaweza kutoa amri na mteule wa chini akaikiuka kwa kuwa mtu aliyetumbuliwa bado anahitajika?
Katika hali ya kawaida Mfugale anatakiwa kuwajibishwa. Kufuata protokali, alitakiwa akamuombe Waziri Mkuu Majaliwa kwamba huyo Meneja wa Morogoro abaki kwa sasa - kitu tunaita "no surprise" katika mambo ya utawala. Kitendo alichofanya Mfugale ni kumdhalilisha Waziri Mkuu na Waziri wake wa Ujenzi.
Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mfugale kuteua meneja mpya wa Tanroads Mororgoro na kumpeleka Andalwisye kwenye sight kama mtaalamu tu kutoka Wizarani kama ni kweli anahitajika kiasi hicho? Kwani hilo daraja ni lazima lijengwe Andalwisye akiwa ndio meneja wa Tanroads Morogoro?
Sasa suala la kujiuliza ni kwamba Mfugale ametoa wapi ujasiri wa kumvimbia Waziri Mkuu na hata Waziri wake wa Ujenzi? Mengi sana yamesemwa kuhusu uhusiano wa Magfuli na Mfugale kuhusiana na miradi ya barabara wakati Magufuli ni waziri wa ujenzi. Watu hawakushangazwa na flyover ya Tazara kupewa jina la Mfugale.
Je, hilo ndilo linalomfanya Mfugale aone kwamba yuko "untouchable" na Waziri Mkuu Majaliwa na anaweza kumvimbia? Tangu lini amri ya Waziri Mkuu inakuwa "overruled" na mtu kama Mfugale ambaye kimadaraka yuko chini ya Waziri wa Ujenzi? Kumbuka amri hii ilitolewa na Majaliwa kwa Waziri wa Ujenzi, kwa hiyo kimsingi, Mfugale amemvimbia Waziri wake wa Ujenzi pamoja na Waziri Mkuu.
Source:
Majaliwa ahoji aliyemhamisha kuendelea na kazi
PM aghast to find manager he transferred still at work
Mfugale ndio nilimsikia akisema ni za muda mrefu, kwa hyo watajuana wenyewe.Inamaana wewe unataarifa kamili kuliko Waziri Mkuu kuhusu hizo barabara? Si hao hao watendaji ndio wanaomtaarifu Waziri Mkuu juu ya mpangilio wa utengenezaji wa hizo barabara?
2025 iwapo Kassim atakuwa Rais ole wake Kassim awe mtu wa visasi yale mashamba na matreka aliyojimilikisha huyu bwana kwa kiburi cha bwana Yohana kwake itakuwa kilio cha kusaga meno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka "no surprise" Waziri Mkuu alitakiwa ku consult na Mfugale kupata hali hakisi kabla ya kutoa tamko la kisiasa.Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na kurudishwa wizarani kupangiwa kazi nyingine. Wazirir Mkuu alikasirishwa na kitendo hicho kwa kuwa fedha za kufanyia ukaguzi zilikuwapo na alibainisha kwamba daraja hilo lingefanyiwa ukaguzi lisingevunjika.
Aliporudi Morogoro kuangalia maendeleo ya kazi, Waziri Mkuu ameshangaa kukuta meneja wa Tanroads Morogoro bado hajaondolewa. Alikerwa na hilo na kuuliza kwa nini meneja huyo bado hajaondolewa licha ya agizo lake. Kwa kujiamini kabisa, Mfugale alimjibu Waziri Mkuu kwamba "Andalwisye ni mmoja wa mainjinia wachache wenye utaalamu wa ujenzi wa madaraja, kwa hiyo huduma yake bado inahitajika hapa. Wewe ulitoa agizo na mimi ndio mtekelezaji, lakini bado tunahitaji utaalamu wake".
Ukweli ni kwamba si kweli kwamba Tanzania hatuna mainjinia wa kutosha wa ujenzi wa madaraja. Wapo wengi sana. Na tangu lini amri ya Waziri Mkuu inapingwa kwa sababu anaetuhumiwa anaonekana bado anahitajika? Watumishi wangapi wanaondolewa kwa amri toka juu licha ya utumishi wao kuhitajika?
Waziri Mkuu ni kiongozi anamuwakilisha Raisi kiutendaji. Je Raisi Magufuli anaweza kutoa amri na mteule wa chini akaikiuka kwa kuwa mtu aliyetumbuliwa bado anahitajika?
Katika hali ya kawaida Mfugale anatakiwa kuwajibishwa. Kufuata protokali, alitakiwa akamuombe Waziri Mkuu Majaliwa kwamba huyo Meneja wa Morogoro abaki kwa sasa - kitu tunaita "no surprise" katika mambo ya utawala. Kitendo alichofanya Mfugale ni kumdhalilisha Waziri Mkuu na Waziri wake wa Ujenzi.
Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mfugale kuteua meneja mpya wa Tanroads Mororgoro na kumpeleka Andalwisye kwenye sight kama mtaalamu tu kutoka Wizarani kama ni kweli anahitajika kiasi hicho? Kwani hilo daraja ni lazima lijengwe Andalwisye akiwa ndio meneja wa Tanroads Morogoro?
Sasa suala la kujiuliza ni kwamba Mfugale ametoa wapi ujasiri wa kumvimbia Waziri Mkuu na hata Waziri wake wa Ujenzi? Mengi sana yamesemwa kuhusu uhusiano wa Magfuli na Mfugale kuhusiana na miradi ya barabara wakati Magufuli ni waziri wa ujenzi. Watu hawakushangazwa na flyover ya Tazara kupewa jina la Mfugale.
Je, hilo ndilo linalomfanya Mfugale aone kwamba yuko "untouchable" na Waziri Mkuu Majaliwa na anaweza kumvimbia? Tangu lini amri ya Waziri Mkuu inakuwa "overruled" na mtu kama Mfugale ambaye kimadaraka yuko chini ya Waziri wa Ujenzi? Kumbuka amri hii ilitolewa na Majaliwa kwa Waziri wa Ujenzi, kwa hiyo kimsingi, Mfugale amemvimbia Waziri wake wa Ujenzi pamoja na Waziri Mkuu.
Source:
Majaliwa ahoji aliyemhamisha kuendelea na kazi
PM aghast to find manager he transferred still at work
Bonge la mbata umempa harudi tena!Umesoma source? Kwa hiyo mimi na IPPMedia na Mwananchi tunafanya umbea? Kuna watu ni wazi hamna elimu ya kutosha kuwa members wa JF wa kujibu thread kama hizi.
Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na kurudishwa wizarani kupangiwa kazi nyingine. Wazirir Mkuu alikasirishwa na kitendo hicho kwa kuwa fedha za kufanyia ukaguzi zilikuwapo na alibainisha kwamba daraja hilo lingefanyiwa ukaguzi lisingevunjika.
Aliporudi Morogoro kuangalia maendeleo ya kazi, Waziri Mkuu ameshangaa kukuta meneja wa Tanroads Morogoro bado hajaondolewa. Alikerwa na hilo na kuuliza kwa nini meneja huyo bado hajaondolewa licha ya agizo lake. Kwa kujiamini kabisa, Mfugale alimjibu Waziri Mkuu kwamba "Andalwisye ni mmoja wa mainjinia wachache wenye utaalamu wa ujenzi wa madaraja, kwa hiyo huduma yake bado inahitajika hapa. Wewe ulitoa agizo na mimi ndio mtekelezaji, lakini bado tunahitaji utaalamu wake".
Ukweli ni kwamba si kweli kwamba Tanzania hatuna mainjinia wa kutosha wa ujenzi wa madaraja. Wapo wengi sana. Na tangu lini amri ya Waziri Mkuu inapingwa kwa sababu anaetuhumiwa anaonekana bado anahitajika? Watumishi wangapi wanaondolewa kwa amri toka juu licha ya utumishi wao kuhitajika?
Waziri Mkuu ni kiongozi anamuwakilisha Raisi kiutendaji. Je Raisi Magufuli anaweza kutoa amri na mteule wa chini akaikiuka kwa kuwa mtu aliyetumbuliwa bado anahitajika?
Katika hali ya kawaida Mfugale anatakiwa kuwajibishwa. Kufuata protokali, alitakiwa akamuombe Waziri Mkuu Majaliwa kwamba huyo Meneja wa Morogoro abaki kwa sasa - kitu tunaita "no surprise" katika mambo ya utawala. Kitendo alichofanya Mfugale ni kumdhalilisha Waziri Mkuu na Waziri wake wa Ujenzi.
Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mfugale kuteua meneja mpya wa Tanroads Mororgoro na kumpeleka Andalwisye kwenye site kama mtaalamu tu kutoka Wizarani kama ni kweli anahitajika kiasi hicho? Kwani hilo daraja ni lazima lijengwe Andalwisye akiwa ndio meneja wa Tanroads Morogoro?
Sasa suala la kujiuliza ni kwamba Mfugale ametoa wapi ujasiri wa kumvimbia Waziri Mkuu na hata Waziri wake wa Ujenzi? Mengi sana yamesemwa kuhusu uhusiano wa Magfuli na Mfugale kuhusiana na miradi ya barabara wakati Magufuli ni waziri wa ujenzi. Watu hawakushangazwa na flyover ya Tazara kupewa jina la Mfugale.
Je, hilo ndilo linalomfanya Mfugale aone kwamba yuko "untouchable" na Waziri Mkuu Majaliwa na anaweza kumvimbia? Tangu lini amri ya Waziri Mkuu inakuwa "overruled" na mtu kama Mfugale ambaye kimadaraka yuko chini ya Waziri wa Ujenzi? Kumbuka amri hii ilitolewa na Majaliwa kwa Waziri wa Ujenzi, kwa hiyo kimsingi, Mfugale amemvimbia Waziri wake wa Ujenzi pamoja na Waziri Mkuu.
Source:
Majaliwa ahoji aliyemhamisha kuendelea na kazi
PM aghast to find manager he transferred still at work
Du afadhali Mkuu, maana hata mie nilipitiwa nilkuwa naandika sight badala ya site. Ngoja nirekebishe.Ni site. Sio sight.
Amandla......
Wewe inaonekana kuna mtu TANROADS anakufanya kitu mbaya na ndivyo unapata riziki yako. Hebu jikomboe kwanza ndio uje huku JF kuongea na watu wenye akili timamu.UNACHUKII ZA KIJINGAAA WE AKIONDOLEWA BABAKO ANAPEWA KAZI PALEEE
MFUGALE NI PROFFESIONAL BR AFANYI.MAMBOO KISIASA KAMA ULIVYOHISII NENDA KAMTOE WEWE. KHA MNAKUFAGA MASISKINI NINYI
Aaaah Mkuu unaenda kusiko. Hivi unajua utaratibu wa kuwajibika? Magufuli anapomtumbua waziri sio kwambakazi ambazo hajijafanywa ndani ya wizara zinafanywa na waziri moja kwa moja.Waziri mkuu si mamlaka ya ajira. Alitakiwa afuate utaratibu, mmojawapo ilikuwa na kumuuliza bosi wa huyo Injinia. Yeye alitakiwa amuwahibishe waziri wake. Waziri mkuu alijuaje kama injinia hakukagua wakati bosi wa huyo injinia yupo? WM alichemka
Unajua u-PM nao mtamu bwana. Mie kwa msimamo wangu, kutokana na mambo mengi tu anayofanyiwa ningeachia ngazi, u-PM kitu gani bwana, bora lawama kuliko fedheha. Mie nilidhani suala la kuwapiga shangazi lilikuwa utani kumbe watu walikuwa serious.Angekua Bashite apo sawa lakini Majaliwa hamna lake aisee.Atulie tuu