Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?

Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?

[emoji23]
Nyie vijana mnaojengea, kulima na kufanya biashara kwenye simu mna matatizo sana. Wengine hayo ndo maisha yetu. Tunafanya kazi kwa vitendo. Na hapo kwenye kutea tea ndipo umaskini ulipo. Endeleeni na maswal, mara proposal, business plan, visibility study, impact assessment na mambo kama hayo.
 
Ili tofali ziwe imara mfuko mmoja unatakiw utoe tofali 30, maximum 35. Ukizidisha hapo ujue hizo sio tofali. .
 
18-20 ndoo ndogo kama unapandisha kuta. Msingi zinapungua na zege zinapungua zaidi
Ok ni sawa, factor iliyobaki inayoleta utofauti wa idadi ya tofali ni thickness ya mortar, kuna wanaojenga unene wa nchi 1, kuna wanaojenga nchi 1.5, 2 n.k
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?
Nishajenga tofali 140_150 kwa ndoo 30 za mchanga ila unatoka a na aina ya mchanga na aina ya cement pia, ndoo moja unajenga tofali 5 hadi 7
 
I mean matofali 45, au 50 na hata 55 huweza kujengwa kwa mfuko mmoja wa cement
 
32.5 unajengea tofali 50-70
42.5 unajengea tofali 70 - 100 kujetegenea na aina ya mchanga na eneo
 
Back
Top Bottom