Mfuko bora wa pesheni ni upi kwa walimu watarajiwa?

Naomba ushauri mfuko bora wa pensheni kwa walimu watarajiwa ni upi?
LAPF kijana wako vizuri hawa jamaa binafsi nilihudhuria semina yao tukiwa chuo nkatafiti kwa wanachama na wasiokuwa wanachama wa mfuko huu nikapata jibu sahihi ndo mana leo nilivyofika tu uwanjan nikapanda ndege ya LAPF tofauti na hapo itakuwa kama wale abiria walopanda ndege ya malaysia unajua ni nini kilitokea
 
Soma hapa: www.issamichuzi.blogspot.nl/2013/10/mfuko-wa-pensheni-wa-lapf-wapongzwa-kwa.html?m=1
 
Gepf ndo wako safi sana,ukistaafu unakula 65.7% ya salary yako kila mwezi
 
Binafsi nawakubali sana LAPF wanaongoza kwa kutoa huduma nzuri na bora kwa wanachama wake.
 
Lapf ni mwanzo mwisho. Mifuko mengine wababaishaji tu na watoa ahadi zisizo tekelezeka.
 

Hata ajira zenyewe za ualimu hazipo pensheni za nn
 
LAPF ndo mpango mzima ni Mfuko unaotoa mafao kuanzia leo hadi unastaafu kwa maana ya kwamba mwanachama anaanza kunufaika mapema na michango yake tofauti na mifuko mingine.

wewe utakuwa mfanyakazi wa LAPF, mwambie boss wako mnachonifanya sio utu kabisa.
 
Nackia kunabaadhi ya wakurugenzi/maafisa elimu uwa wanashnikiza kujiunga na mfuko fulan! je kuna ukweli kuhusu hilo?

LAPF ndio mpango mzima wa maisha hao wengine ubabaishaji mwingi sana.
 
Jiunge na PSPF usidanganyike...mifuko mingine no maneno matupu tu toka mwaka 1970 lakini wanachama hata laki hawafiki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…