Parincho
Member
- Sep 30, 2013
- 48
- 5
LAPF kijana wako vizuri hawa jamaa binafsi nilihudhuria semina yao tukiwa chuo nkatafiti kwa wanachama na wasiokuwa wanachama wa mfuko huu nikapata jibu sahihi ndo mana leo nilivyofika tu uwanjan nikapanda ndege ya LAPF tofauti na hapo itakuwa kama wale abiria walopanda ndege ya malaysia unajua ni nini kilitokeaNaomba ushauri mfuko bora wa pensheni kwa walimu watarajiwa ni upi?