Mfumo maalum wa uendeshaji wa vyuo vya Afya- Colleges Health And Allied Sciences (COHAS)

Mfumo maalum wa uendeshaji wa vyuo vya Afya- Colleges Health And Allied Sciences (COHAS)

sele255

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
205
Reaction score
262
Habari wa jamiiforums

Kwa uendeshaji wa vyuo vya Afya nimeandaa mfumo maalum wa uratibu wa matokeo na ada kwa vyuo vya afya kwa ngazi ya NTA level 4,5 & 6
Mfumo huu utarahisisha kuhifadhi taarifa na kutoa matokeo kwa wanafunzi kwa wakati, Wanafunzi ambao
hawajatoa ada wanaweza kuzuiwa kuona matokeo yao.

Kozi zilizokamilika ni
  • CMT (Clinical Medicine Course NTA level 4, 5 & 6)
  • NMT (Nursing and Midwifery Course NTA level 4, 5 & 6)
  • MLT (Medical Laboratory Course NTA level 4, 5 & 6 )

Kupata demo nipige/WhatsApp kupitia +255765696086

NB:Kutokana na hali ya kiuchumi malipo kwa awamu ya naruhusiwa.
 
Back
Top Bottom