Mfumo mpya wa usaili PSRS kada ya Tutorial Assiatant

geoph

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
23
Reaction score
28
Habari zenu wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya usaili wa kuandika hivi karibuni PSRS kada ya Tutorial Assiatant kwa huu mfumo mpya, je usaili unafanyika kwa computer kama wengine? mfano watumishi wa afya kama tulivyoona hivi karibu au kada Tutorial Assistant imebaki kama zamani, asante.
 
Wewe una written,practical na oral
Unatakiwa kuvuka vihunzi vitatu! Hicho cha kwanza ndio kabambe zaidi
 
Swali ni je written interview kada ya TA inafanywa kwenye mfumo wa computer au ni kuandika na peni na karatasi?
 
Inafanywa kupitia mfumo wa Online Aptitute Test System (OATS) kama saili za kada nyingine kwasasa, pia kuna practical na oral japo sijajua practical huwa zinakuwaje kwa kipindi hiki lakini mimi mara ya mwisho kufanya kada ya T.A ilikuwa ni saili mbili tu written na oral , oral interview ilikuwa inaambatana na kuandaa presentation ya topic yeyote unayoijua kiundani na kisha kwenda kupresent ndani ya 15 minutes mbele ya jopo la wanataaluma (Academicians) na baada ya hapo wanakuuliza maswali kadhaa kutoka kwenye presentation yako pamoja na general interview questions.
 
Asante kiongozi japo nadhani practicals ni kwa baadhi ya programs kama IT
 
Habari zenu wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya usaili wa kuandika hivi karibuni PSRS kada ya Tutorial Assiatant kwa huu mfumo mpya, je usaili unafanyika kwa computer kama wengine? mfano watumishi wa afya kama tulivyoona hivi karibu au kada Tutorial Assistant imebaki kama zamani, asante.
Oky...!! Mimi nilifanya usaili wa hiyo nafasi tajwa, tulifanya usaili wa kuandika kwa kutumia Karatasi ( Printed) na sio kwa kutumia kitarakirishi ( Computer) na Maswali yalikuwa ya kuchagua.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom