Mfumo wa ajira nchini umeshindikana, bila connection hutoboi!

Duh familia ya mzee naniu tunakupa pole mkuu
 
Duh taasisi wangekua ajiri mkuu kwa uchapaji kazi wako.
 
Daah! Kiukweli inauma sana yani mtu unateseka miaka mtaani ajira hupati alafu wale madogo uliowaacha shule wamemaliza na ajira wamepata hadi wanakuonea huruma

Ni maumivu
Nadhani issue sio wao kupata wewe kukosa issue ni vipi kila mtu anaweza kupata ujira wa kutosha kusogeza maisha yake kwa kupata mahitaji yake yote muhimu....

CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia riziki yake. Nawaomba ardhi - hakuna ardhi; hamnipi ardhi, Mnasema "Ardhi hakuna". Naomba kazi ya kibarua basi, Nipeni basi ya kibarua, "Hamnipi kazi ya kibarua. Mimi niko tayari kabisa kufanya kazi au ya kulima au ya kibarua chochote nipeni. Hamnipi Chama Chetu kinasema MTANILISHA. Julius Kambarage Nyerere
 
Ningekupa siri lakini basi mpaka Mungu atakapo amua.
 
CONNECTION.. CONNECTION.. CONNECTION..
Mwshoni mwa mwaka jana Uhamiaji walitoa nafasi za kujiunga na jeshi lao.. Nikatazama “Magamba” yngu nkasema kw sifa wanazotaka ni mara mbili ya “magamba” yngu, Basi nikaaply na km nlvyojizatiti kwl jina langu lkatokea kwny usaili.

Mm n Mkristo (Mtanganyika) niliehamia Zanzbar baada ya kumalza Chuo UDSM nikaja kujaribu bahati yngu kusaga maisha huku. Aisee ule usaili ulifanyika feb 16 mwka huu siji sahau nlyoyashuhudia. Kwnz Wakrsto tulkuwa 9 tu kati ya 586 walioitwa kwny usaili na kati ya hao hakuna aliepita wote tulipigwa chini.

Kwny usaili nilkuwa na jamaa muda wte anaitwa nje ya chumba na Afande mmoja nmekaa nae karbu, Ktk stry stry nkamuulza mbna jamaa wanakugombania sana ama n “mbanga” wko? Jamaa akanambia wamepewa maagizo na baba nisitege nifanye usaili ila mm stak haya masuala ya majeshi jeshi baba analazimisha na anasema UT sio jeshi kamili sitopata tabu sana.

Basi jamaa akawa mshkaj wngu tukabadlshana namba, kabla ya majina kutoka akawa ananipa taarfa zote na zote za ukwl. Kuanzia sku ya majina kutoka mpk idadi ya watu watakaoitwa. Jamaa akachaguliwa kujiunga na UT na hana sifa yyte nkaachwa mm mwnye degree ya IT, cheti cha Udereva class E, Cheti cha Muziki,Cheti cha JKT 3yrs OP Mererani,Cheti cha Uwaziri wa michezo Chuoni,Cheti cha Takukuru na Un nkiwa sekondari, na vyeti vya uongozi Head Boy O level na Advance

CONNECTION CONNECTION CONNECTION
 
Nyie siku ukipata Kazi mnaanza kusumbua wafu ofisini... Nina ushahidi mkubwa wa vijana wa namna hii wanaokalia mtandaoni siku ukiwapa nafasi wanaanza kusumbua na kusahau walipotoka
 
usisahau bahati pia maana najua weng t wapeta serikalin na hawakuw na connection na wamemaliza 2022
 
Mtoto wa mjomba mlete, mtoto wa Shangazi mlete 😂😂😂🤣. CCM hoyeee
 
Ulimwengu hauko sawa, chukulia mfano mko watu 200 kwenye chumba kimoja chenye mlango mmoja, ghafla moto ukawaka mle ndani, Je utatumia mbinu gani kutoka pale mlangoni bila kupata madhara?
Hizo ni hadithi za wanaonufaika na status quo wanalisha majority ili waendelee kutumika / kula makombo bila kulalamika..., ndio maana enzi zile za inefficiency watu waliaminishwa kwamba kuna mabwana na watwana kuna watu wanazaliwa kutawala na wengine kutawaliwa resources zilikuwa chache hence wengi wafanye kazi ili wachache wafaidi (enzi za utumwa) na nguvu kazi ilitakiwa zaidi...

Dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia na automation ni vice versa nguvu kazi haitakiwi tena kama zamani kwahio inabidi uwepo mfumo wa kufanya keki ya dunia angalau watu wapate basic needs (gap of classes ya have and have-nots ni threat to society as a whole) and the way things are Capitalism as we know it can not survive this automation.... (A few can not own means of production if the production does not provide employment) i.e. the trickle down effect advantage wont be there anymore...
 


Pole Sana mkuu utapata kazi endelea kuomba kwa imani then Mbanga ukiipata Anza na Mungu then Mbanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…