DOKEZO Responded Mfumo wa Ajira Portal wa TAKUKURU wanaoomba kwa Level ya Degree na hawajapita Form Six mfumo unataka Cheti cha Form 6

  • Thread starter Thread starter Anonymous (01f4)
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
photo_2026-04-17_14-55-15.jpg
Mfumo wa Ajira Portal wa TAKUKURU kwa watu wanaoomba kwa Level ya Degree na hawajapita form six mfumo unataka cheti cha form six, naomba utufikishie hili maana sio wote walisoma form six wengine wamepita Certificate na Diploma.
​
Pia soma ~ Kigezo cha cheti cha Darasa la 7 ajira ya TAKUKURU kiangaliwe vizuri

Maombi yameanza kama siku tatu na nne zilizopita yanaisha tarehe 03 Mei, 2026. Hapo vyeti nimeshaweka hadi cha Degree lakini bado mfumo unaomba cheti cha form six and baadhi ya watu hatujapita form six tunashindwa kuelewa hii imekaaje au wanataka watu wa waliopita form six tu hili tusipoteze muda kuomba.

Pia soma ~ Sekretarieti ya Ajira: Mfumo wa Ajira Portal ukiwa na Digrii hauwezi kupewa kazi ya Diploma
 
Mfumo wa Ajira Portal wa TAKUKURU kwa watu wanaoomba kwa Level ya Degree na hawajapita form six mfumo unataka cheti cha form six, naomba utufikishie hili maana sio wote walisoma form six wengine wamepita Certificate na Diploma.

Maombi yameanza kama siku tatu na nne zilizopita yanaisha tarehe 03 Mei, 2026. Hapo vyeti nimeshaweka hadi cha Degree lakini bado mfumo unaomba cheti cha form six and baadhi ya watu hatujapita form six tunashindwa kuelewa hii imekaaje au wanataka watu wa waliopita form six tu hili tusipoteze muda kuomba
Unaweza ukakuta hawana uwezo wa kuajiri watu wengi, wametumia hiyo kama sababu ya kuwapunguza kabla hata ya kufanya interview
 
Mfumo wa Ajira Portal wa TAKUKURU kwa watu wanaoomba kwa Level ya Degree na hawajapita form six mfumo unataka cheti cha form six, naomba utufikishie hili maana sio wote walisoma form six wengine wamepita Certificate na Diploma.

Maombi yameanza kama siku tatu na nne zilizopita yanaisha tarehe 03 Mei, 2026. Hapo vyeti nimeshaweka hadi cha Degree lakini bado mfumo unaomba cheti cha form six and baadhi ya watu hatujapita form six tunashindwa kuelewa hii imekaaje au wanataka watu wa waliopita form six tu hili tusipoteze muda kuomba
Hujaona neno EQUIVALENT? Hustahili kuajiriwa TAKUKURU kwa sababu kichwani huna akili.
 
Hivi ndugu hujaona hapo wameweka/ wakaweka equivalent au mimi ndio elimu yangu haijanisaidia
Huu uzi ungefutwa tu kwa sababu umeandikwa na mtu mjinga aliyeshindwa kuona na kuelewa neno EQUIVALENT. Yaani ili mradi kalaumu
 
Kwa kukusaidia ACSEE Equivalentfano mifano yake ni FTC, Diploma, e.t.c.
Wewe weka Cheri chako Cha Diploma hapo.
 
Kwa hiyo ndugu nikweli kwamba hujui maana ya equivalent qualifications? Au unanichora
Mfano post ikiwa inataka finance wakaweka hy equivalent Maana yake wenye commerce, taxation n.k wanaweza kuomba.
Sasa equivalent ya form six inawezekanaje iwe diploma?

Naomba unieleweshe hapo
 
Post ya juu jamaa kasha kujibu vizuri.
Equivalent ya form 6 maana yake ni diploma FTC etc .
Mfano COet wanadaili watu wa Chemical Engineering kwa watu walopita Fm6 watahitaji mtu aliesoma PCM ila kwa mtu ambae hajapita FM6 watahitaji Equivalent qualification ndio watachukua may be Mtu aliesoma diploma ya chemical au electrical etc
Unaweza pia kugoogle ukapata uelewa vizuri
 
Mfano post ikiwa inataka finance wakaweka hy equivalent Maana yake wenye commerce, taxation n.k wanaweza kuomba.
Sasa equivalent ya form six inawezekanaje iwe diploma?

Naomba unieleweshe hapo
Umesoma dunia ya wapi??? Kama cheti cha form six kinakupeleka chuo kikuu! Na mtu wa diploma naye diploma inampeleka chuo kikuu, hapo hujaona equivalent???
 
So diploma ni sawa na degree mana inakupeleka kusoma degree?
 
Back
Top Bottom