Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Bado bado 😎Shikamoo Afisa Utumishi
Bado bado 😎Shikamoo Afisa Utumishi
Uelewa wako ni mdogo sana! Kwa hiyo cheti cha form six ni sawa kwa kuwa kinakupeleka kusoma degree??So diploma ni sawa na degree mana inakupeleka kusoma degree?
Hiyo PCM inakupa nafasi ya kusoma hiyo chemical engineering Na Sio Kwamba Una uwezo wa mtu mwenye hiyo chemical Eng.Post ya juu jamaa kasha kujibu vizuri.
Equivalent ya form 6 maana yake ni diploma FTC etc .
Mfano COet wanadaili watu wa Chemical Engineering kwa watu walopita Fm6 watahitaji mtu aliesoma PCM ila kwa mtu ambae hajapita FM6 watahitaji Equivalent qualification ndio watachukua may be Mtu aliesoma diploma ya chemical au electrical etc
Unaweza pia kugoogle ukapata uelewa vizuri
Umeelewa nilichoandika?Uelewa wako ni mdogo sana! Kwa hiyo cheti cha form six ni sawa kwa kuwa kinakupeleka kusoma degree??
Fafanua basi yamkini sijakuelewa mkuuUmeelewa nilichoandika?
Inasikitisha sana unakuta msomi kabisa na degree anashindwa kuelewa maana ya neno equivalent.Umesoma dunia ya wapi??? Kama cheti cha form six kinakupeleka chuo kikuu! Na mtu wa diploma naye diploma inampeleka chuo kikuu, hapo hujaona equivalent???
Afisa Utumishi Unapiga Utosini Kama Cobra VileUmeelewa nilichoandika?