Utabakiunachezachura mpaka utie akili .... bora hata sisi tuna kampuni we utacheza vigodoro mpaka utie adabu.Wewe nani kakuomba upeleke koteshe yako kwenye miradi ya serikali na unajua unamtaji wakuhudumia nyie kampun njaa uzen tu nyanya na bdo awajaja kukaguwa kwaiyo mkuu bali na kusubr bajet pia subr ukosowaji wakaz yako waweza aza moja ndyo utajua Dunia n tufe au duara
Mimi ni case study. Nimedeliver mzigo serikalini June ktkt. Hadi navyoomgea unalala tu nyumbani zaidi ya mil 40 napigwa danadana.Yaani bajeti mnapitisha mwezi wa 6, mnafunga mfumo mwezi wa 6 mwishoni mnakuja kufungua mfumo mwezi wa 9.
Hapo hamjali kua kuna kandarasi wanadai, kuna watoa huduma wanadai, kuna taasisi zinadai, kuna watu wengi nyuma ya watoa huduma wanasubiri familia ziendeshe maisha.
Hivi nchi zote duniani ndio hua hivi? Au sisi Tanzania ni ile kauli " mwendo ni ule ule"
Tumeshindwa kabisa ku automate hii mifumo?
Eti wachumi na wataalamu wa mifumo mmeshindwa kuondoa hii waiting time? Mwezi wa 7 hadi wa 9 ?
Kuna tasisi Tz inachapisha hela yake? Nafikiri haujui mzunguko wa hela unavyoenda, kwa sasa hata muuza mitumba kkoo amenga duka lake sababu ya serikali kufunga mifumo yake.Wewe nani kakuomba upeleke koteshe yako kwenye miradi ya serikali na unajua unamtaji wakuhudumia nyie kampun njaa uzen tu nyanya na bdo awajaja kukaguwa kwaiyo mkuu bali na kusubr bajet pia subr ukosowaji wakaz yako waweza aza moja ndyo utajua Dunia n tufe au duara
Mfumo kufungwa ni majanga, kuna kampuni ya usafi katika ofisi fulani za gvt wafanyakazi wanatia hhruma two months Now mishahara nasikia bilabilaMimi ni case study. Nimedeliver mzigo serikalini June ktkt. Hadi navyoomgea unalala tu nyumbani zaidi ya mil 40 napigwa danadana.
Kuna watu wanasema serikali imefilikisa, sasa wanajichanga.
Naomba isiwe hivyo. Lkn ukweli nimepata tamaa na mama samia
Umeandika nini hapa?!Wewe nani kakuomba upeleke koteshe yako kwenye miradi ya serikali na unajua unamtaji wakuhudumia nyie kampun njaa uzen tu nyanya na bdo awajaja kukaguwa kwaiyo mkuu bali na kusubr bajet pia subr ukosowaji wakaz yako waweza aza moja ndyo utajua Dunia n tufe au duara
Kuna tasisi Tz inachapisha hela yake? Nafikiri haujui mzunguko wa hela unavyoenda, kwa sasa hata muuza mitumba kkoo amenga duka lake sababu ya serikali kufunga mifumo yake.
Kuna tasisi Tz inachapisha hela yake? Nafikiri haujui mzunguko wa hela unavyoenda, kwa sasa hata muuza mitumba kkoo amenga duka lake sababu ya serikali kufunga mifumo yake.
kampun ya mandaz au ya ujenz mkuuUtabakiunachezachura mpaka utie akili .... bora hata sisi tuna kampuni we utacheza vigodoro mpaka utie adabu.
Hili swala serikali iliangalie zama hizi tumeshatoka huko, mnakaa miezi 3 hadi 4 kusubiri mfumo ufunguliwe ili mulipwe ? Hawafikirii athari za kiuchumi , hawafikirii watu kiasi gani wata athirika kwa sababu wao wapo kwenye mashangingi wanaona ni sawa kabisa !! Tujaribu kuangalia nchi nyingine zinaendesha vipi mambo yao ?Mfumo kufungwa ni majanga, kuna kampuni ya usafi katika ofisi fulani za gvt wafanyakazi wanatia hhruma two months Now mishahara nasikia bilabila
Sasa kutoka mwezi wa 6 hadi mwezi wa 9 hapo unasubiri malipo, ukute umechukua loan , riba 10% , faida yako kwenye mzigo labda ilikua 40% au 30%. Kuna vitu serikali inasababisha kwa wananchi wake na haijali , ni kama vile inasema lolote liwakute mkafie mbalini hatari sana, pia dirisha la malipo linaweza funguliwa mwezi wa 9 na bado ukaja lipwa mwezi wa 12
Si kweli , haijafilisika ni kwamba wanarekebisha vifungu kwenye mifumo kwa ajili ya kila taasisi. Hii shughuli naona inawachukua miezi 3 hadi 6 sasa itafika tunakoelekea kama tusipolipigia kelele na hakuna mtu anajali.Mimi ni case study. Nimedeliver mzigo serikalini June ktkt. Hadi navyoomgea unalala tu nyumbani zaidi ya mil 40 napigwa danadana.
Kuna watu wanasema serikali imefilikisa, sasa wanajichanga.
Naomba isiwe hivyo. Lkn ukweli nimepata tamaa na mama samia