Mfumo wa bajeti wa Serikali unaweza kukufanya ukawa maskini dakika sifuri

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Yaani bajeti mnapitisha mwezi wa 6, mnafunga mfumo mwezi wa 6 mwishoni mnakuja kufungua mfumo mwezi wa 9.

Hapo hamjali kua kuna kandarasi wanadai, kuna watoa huduma wanadai, kuna taasisi zinadai, kuna watu wengi nyuma ya watoa huduma wanasubiri familia ziendeshe maisha.

Hivi nchi zote duniani ndio hua hivi? Au sisi Tanzania ni ile kauli " mwendo ni ule ule"

Tumeshindwa kabisa ku automate hii mifumo?

Eti wachumi na wataalamu wa mifumo mmeshindwa kuondoa hii waiting time? Mwezi wa 7 hadi wa 9 ?
 
Wewe nani kakuomba upeleke koteshe yako kwenye miradi ya serikali na unajua unamtaji wakuhudumia nyie kampun njaa uzen tu nyanya na bdo awajaja kukaguwa kwaiyo mkuu bali na kusubr bajet pia subr ukosowaji wakaz yako waweza aza moja ndyo utajua Dunia n tufe au duara
 
Utabakiunachezachura mpaka utie akili .... bora hata sisi tuna kampuni we utacheza vigodoro mpaka utie adabu.
 
Mimi ni case study. Nimedeliver mzigo serikalini June ktkt. Hadi navyoomgea unalala tu nyumbani zaidi ya mil 40 napigwa danadana.

Kuna watu wanasema serikali imefilikisa, sasa wanajichanga.

Naomba isiwe hivyo. Lkn ukweli nimepata tamaa na mama samia
 
Hii 👆 inakera Sana , payment za serikali zinaenda polepole Sana, serikali kuu haijali na wala hawafuatilii , kufanya Kazi na serikali sometimes inasababisha compy kufungwa,
Wao kila mwaka kununua magari mapya
 
Wewe nani kakuomba upeleke koteshe yako kwenye miradi ya serikali na unajua unamtaji wakuhudumia nyie kampun njaa uzen tu nyanya na bdo awajaja kukaguwa kwaiyo mkuu bali na kusubr bajet pia subr ukosowaji wakaz yako waweza aza moja ndyo utajua Dunia n tufe au duara
Kuna tasisi Tz inachapisha hela yake? Nafikiri haujui mzunguko wa hela unavyoenda, kwa sasa hata muuza mitumba kkoo amenga duka lake sababu ya serikali kufunga mifumo yake.
 
Mimi ni case study. Nimedeliver mzigo serikalini June ktkt. Hadi navyoomgea unalala tu nyumbani zaidi ya mil 40 napigwa danadana.

Kuna watu wanasema serikali imefilikisa, sasa wanajichanga.

Naomba isiwe hivyo. Lkn ukweli nimepata tamaa na mama samia
Mfumo kufungwa ni majanga, kuna kampuni ya usafi katika ofisi fulani za gvt wafanyakazi wanatia hhruma two months Now mishahara nasikia bilabila
 
Umeandika nini hapa?!
 
Kuna tasisi Tz inachapisha hela yake? Nafikiri haujui mzunguko wa hela unavyoenda, kwa sasa hata muuza mitumba kkoo amenga duka lake sababu ya serikali kufunga mifumo yake.
Kuna tasisi Tz inachapisha hela yake? Nafikiri haujui mzunguko wa hela unavyoenda, kwa sasa hata muuza mitumba kkoo amenga duka lake sababu ya serikali kufunga mifumo yake.
Utabakiunachezachura mpaka utie akili .... bora hata sisi tuna kampuni we utacheza vigodoro mpaka utie adabu.
kampun ya mandaz au ya ujenz mkuu
 
Mfumo kufungwa ni majanga, kuna kampuni ya usafi katika ofisi fulani za gvt wafanyakazi wanatia hhruma two months Now mishahara nasikia bilabila
Hili swala serikali iliangalie zama hizi tumeshatoka huko, mnakaa miezi 3 hadi 4 kusubiri mfumo ufunguliwe ili mulipwe ? Hawafikirii athari za kiuchumi , hawafikirii watu kiasi gani wata athirika kwa sababu wao wapo kwenye mashangingi wanaona ni sawa kabisa !! Tujaribu kuangalia nchi nyingine zinaendesha vipi mambo yao ?
 
ni hatari sana, pia dirisha la malipo linaweza funguliwa mwezi wa 9 na bado ukaja lipwa mwezi wa 12
Sasa kutoka mwezi wa 6 hadi mwezi wa 9 hapo unasubiri malipo, ukute umechukua loan , riba 10% , faida yako kwenye mzigo labda ilikua 40% au 30%. Kuna vitu serikali inasababisha kwa wananchi wake na haijali , ni kama vile inasema lolote liwakute mkafie mbali
 
Mimi ni case study. Nimedeliver mzigo serikalini June ktkt. Hadi navyoomgea unalala tu nyumbani zaidi ya mil 40 napigwa danadana.

Kuna watu wanasema serikali imefilikisa, sasa wanajichanga.

Naomba isiwe hivyo. Lkn ukweli nimepata tamaa na mama samia
Si kweli , haijafilisika ni kwamba wanarekebisha vifungu kwenye mifumo kwa ajili ya kila taasisi. Hii shughuli naona inawachukua miezi 3 hadi 6 sasa itafika tunakoelekea kama tusipolipigia kelele na hakuna mtu anajali.
 
Nilidhani mifumo imekuja ili kurahisisha na kuharakisha utendaji, kumbe sivyo. Nionavyo kisingizio cha 'mifumo' kinatumika kuendeleza urasimu uliozoeleka serikalini.
 
Back
Top Bottom