mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Yaani bajeti mnapitisha mwezi wa 6, mnafunga mfumo mwezi wa 6 mwishoni mnakuja kufungua mfumo mwezi wa 9.
Hapo hamjali kua kuna kandarasi wanadai, kuna watoa huduma wanadai, kuna taasisi zinadai, kuna watu wengi nyuma ya watoa huduma wanasubiri familia ziendeshe maisha.
Hivi nchi zote duniani ndio hua hivi? Au sisi Tanzania ni ile kauli " mwendo ni ule ule"
Tumeshindwa kabisa ku automate hii mifumo?
Eti wachumi na wataalamu wa mifumo mmeshindwa kuondoa hii waiting time? Mwezi wa 7 hadi wa 9 ?