Zerock
JF-Expert Member
- Sep 3, 2026
- 853
- 1,701
Dunia nzima inaamini demokrasia ni mfumo wa kuwafanya wawe huru kufanya kitu wanataka. Demokrasia bado ni mfumo wa unyonyaji,huku ukikupa uhuru wa kumchagua mtu wa kukunyonya kwa muda wa miaka 4/5.
Kodi na ushuru unaolipa Kila siku unaenda kulipa mishahara yao mkubwa,mahari ya bure+mafuta huku wakienda bungeni kutunga sheria za kuwalinda dhidi ya ufisadi wanaofanya.hata ukibadilisha mtu mwingine baada ya miaka 4/5 haisaidii bali umechagua mtu mwingine wa kukunyonya.
Bahati mbaya zaidi demokrasia inatumika kutuaminisha kwamba kundi la watu flani ni wabaya hukwakijifanya wao ni wazuri, demokrasia inagawa wananchi katika makundi.
Hata nchi ambazo watu wengi wanadhani kuna demokrasia ya kweli ni uwongo mtupu Kwa mfano (democrats na republican). Maseneta au wabunge wabunge wao upitisha miswada yenye manufaa kwao kwa asilimia kubwa hata kama ni vyama viwil tofauti vyenye upinzani mkubwa,ila kwenye maslahi yao binafsi huwa kitu kimoja.
Tunaaminishwa kuwa demokrasia ni mfumo huru (kukosoa/kusifia) lakin mambo ni tofauti, hawataki kukosolewa hata kama wanaharibu
WAPIGIE KURA LAKINI HUSIWAKOSOWE.
DEMOKRASIA NI MFUMO WA WIZI