Habari
Naomba nikujib kama ifuatavyo
1.unaweza kuwekwa kweny computer au tuka uweka ukawa live ukawa unatumiaka hata kwa simu
2.lugha iliyo tumika ni kiingereza ila lugha rahis saan kielewaka na mtu yeyote kirahis
3.huwa na andaa documentation yake kwahiy inakuwa rahisi kuelewa na nimetumia lugha rahis sio ya mficho
4. 24 hours hazii ish inakuwa umesh upata tayar kam unatak kurun online ila kam ni offline kweny desktop yako
Inaweza kuzidi kutokana na ulipo
5.kusolve problem amabo ziko kweny mfumo ni free of charge ila kam unahitaji kuongeza vitu vingne amabo havipo kweny mfumo ita tegemea na kitu unacho hitaj kuongeza
6.garama za mfumo ni rahisi kwa kuwa n kwa ajili ya wajasiliamali wadogo ni laki nne full pamoja na online sevice ya miezi sita na hata baada ya hapo ni naweza nikafanya kwa bei rahis saan ya online service lakin bei tunaweza kuzungumza
Ahsante