SOFTWARE Mfumo wa dukani

SOFTWARE Mfumo wa dukani

Msafiri mkusa

New Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
3
Reaction score
1
Habari
Kwa majina naitwa msafiri juma ni mtengenezaji wa mifumo mablimbali ya computer
Leo hii nawalea mfumo wa dukani amabou unaweza kutumika popote bila shida
Unafanida nying saana kwa maelezo zaid nichek kwa namba yangu +255689878213
Apo chni ni muone kano ndani jins ulivyo nichek nikupe link ya kuingnia ndani ili uukague mwenyewe na jins. Unavy fanya kazi ahsante
Screenshot_20220212-170647.jpg
Screenshot_20220212-170637.jpg
Screenshot_20220212-170600.jpg
Screenshot_20220212-170534.jpg
 
1.Installation yake ni kwenye device gani?
2.Lugha iliyotumika inawezekana kueleweka na asilimia ngapi ya wajasiriamali hao?
3.Elimu ya kuutumia mfumo hutolewaje?
4.Nikiuhitaji naupata baada ya muda gani?
5.Technical error zake hurekebushwa kwa gharama gan?
6.Mfumo unagharimu kiasi gani?
 
Habari
Naomba nikujib kama ifuatavyo

1.unaweza kuwekwa kweny computer au tuka uweka ukawa live ukawa unatumiaka hata kwa simu

2.lugha iliyo tumika ni kiingereza ila lugha rahis saan kielewaka na mtu yeyote kirahis

3.huwa na andaa documentation yake kwahiy inakuwa rahisi kuelewa na nimetumia lugha rahis sio ya mficho

4. 24 hours hazii ish inakuwa umesh upata tayar kam unatak kurun online ila kam ni offline kweny desktop yako
Inaweza kuzidi kutokana na ulipo

5.kusolve problem amabo ziko kweny mfumo ni free of charge ila kam unahitaji kuongeza vitu vingne amabo havipo kweny mfumo ita tegemea na kitu unacho hitaj kuongeza

6.garama za mfumo ni rahisi kwa kuwa n kwa ajili ya wajasiliamali wadogo ni laki nne full pamoja na online sevice ya miezi sita na hata baada ya hapo ni naweza nikafanya kwa bei rahis saan ya online service lakin bei tunaweza kuzungumza

Ahsante
 
Back
Top Bottom