Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Habari! Kuna mtu yoyote anafahamu umuhimu wa kuweka bajaj kwenye gas kama mbadala wa Petrol??
Je gharama inapungua ukitumia gasi?? Au inakuwa sawa sawa na petrol??
Msaada
kama inawezekana sio mbaya hata kama ingekua injini ya cc 50 cha msingi hakuna anayetaka gharamaEeeh hii sasa kali tena mkuu bajaji unataka kuweka Gas Daah acha waweke wenye CC 1,500 na kuendelea.
ukiona haujawa tayari na gharama kwenye vyombo vya moto mda wako haujafika mkuu mm na Honda Click inatumia umeme na petrol mafuta ya buku natembea week nzima[emoji3][emoji23][emoji28] ila unajua mpya ni bei gani ni sawa na IST ya mkononi.kama inawezekana sio mbaya hata kama ingekua injini ya cc 50 cha msingi hakuna anayetaka gharama