Mfumo wa gas kwenye Bajaj

Mfumo wa gas kwenye Bajaj

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari! Kuna mtu yoyote anafahamu umuhimu wa kuweka bajaj kwenye gas kama mbadala wa Petrol??

Je gharama inapungua ukitumia gasi?? Au inakuwa sawa sawa na petrol??

Msaada
 
Habari! Kuna mtu yoyote anafahamu umuhimu wa kuweka bajaj kwenye gas kama mbadala wa Petrol??

Je gharama inapungua ukitumia gasi?? Au inakuwa sawa sawa na petrol??

Msaada

India 70% za Bajaj ni Gas, 25% Umeme, 5% Petrol

Nashauri uagize Bajaj yenye mfumo wa gas, itapunguza gharama za uendeshaji zaidi, faida maradufu (Ukae karibu na kituo cha kujaza gas)
 
kama inawezekana sio mbaya hata kama ingekua injini ya cc 50 cha msingi hakuna anayetaka gharama
ukiona haujawa tayari na gharama kwenye vyombo vya moto mda wako haujafika mkuu mm na Honda Click inatumia umeme na petrol mafuta ya buku natembea week nzima[emoji3][emoji23][emoji28] ila unajua mpya ni bei gani ni sawa na IST ya mkononi.
 
Back
Top Bottom