Walitoa taarifa kuhusu uwepo wa Maboresho ktk mfumo wao. Binafsi nilipokea sms ikinitaarifu kuanzia Ijumaa saa 12 jioni, mfumo wao utakuwa kwenye maboresho, hivyo tuwe wavumilivu.
Kwa sasa mtandao wao umerejea tena ukiwa na speed nzuri nahisi hata baadhi ya Bugs zimekuwa rectified. DSE Hoyeeeeee...........ππππ
Ila mtimize ile ahadi yenu ya soko kuwa online 24/7.