HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
- Thread starter
- #21
Serikali yatakiwa iondoe tozo kwenye miamala afu iweke mifumo ya kadi, itakusanya mapato mengi sana.Safi sana, itafika mahala huduma zote za usafiri za kiserikali zitalipiwa kwa Ncard, hata mwendokasi
Kama hapo hiyo mifumo itahujumiwa sana ili tiketi za mikono zitumike watu wapige pesa.
Maana zamani kwa siku mtu anaweza pitisha basi zima bila kulipia anakunja 5000 yake