Mfumo wa kufanya maombi uliopotea

Mfumo wa kufanya maombi uliopotea

Sasa je Maombi yetu yanakua katika viwango vinavyokidhi Kama mtoa mada anavyouloza ?
Km umefuatilia vizuri nilicha andika utakuwa umeelewa. Hili suala ni la kiimani, na iman hizo pia hutofautiana japo misingi ya kufanya maombi imekuwa ikifanana kwa baadhi. Mimi nilichokilenga ni kwamba kwa waumini wa kikristo wana amini kuwa ROHO MTAKATIFU yupo kuwasaidia ktk eneo hilo hivyo hakuna haja ya kuomba km wafanyavyo wahindi & wayahudi.
 
Je wewe unaomba Kama maagizo ya Yesu katika injili ya Yohana 16:24 na wakati unaomba unachokiomba unaliona katika ulimwengu wa Roho na unatoa sadaka ya shukrani baada ya Maombi kumaanisha Maombi yashajibiwa au unakua na shaka?
 
Mkuu, suala jinsi gan mtu anavyoomba huwa ni siri yake na Mungu wake, ndio maana faragha huwa inahusika ktk kufanya maombi binafsi
 
Mkuu, suala jinsi gan mtu anavyoomba huwa ni siri yake na Mungu wake, ndio maana faragha huwa inahusika ktk kufanya maombi binafsi
Inaweza ikawa Siri sikatai ila je unapata majibu na unachokiomba uwa unaona tayari umekipata na unaenda madhabahuni kushukuru?
 
Naam, nawe je?
Mimi nishajibu post za nyuma kwa upande wangu .....ila ushajiuliza watu wanahama makanisa wanafuata Nini na wanakimbilia wanaojiita manabii kufanya Nini Kama kweli wote tukiwa tunafata fundisho la Yesu kupitia Yohana 16:24?
 
Imani haba ndio chanzo. Ila ukiwa na iman timilifu bhac utafunguliwa neema tulio ahidiwa
 
Hapo ndo ugumu unapoanzia ndomana kabla ya Maombi tunashauriwa tufanye Toba au kujitakasa halafu ndo tuingie kwenye Maombi Sasa tatizo linakuja kwenye mioyo yetu kuachilia Mambo yanatoyotuzunguka mfano Hali ngumu ya maisha,madeni hii inasababisha shetani kucheza na sisi kwenye ufahamu wetu

Ukisoma vizuri 2kor 10:4-5 "Maana silaha za Vita vyetu si za mwili,Bali Zina uwezo katika Mungu hata ngome;tukiangusha mawazo na Kila kitu kilichoinuka,kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu;na tukiteka nyara Kila fikra ipate kumtii kristo" hoja yangu katika mstari huu ni kwamba shetani anacheza na sisi katika fikra pale tunapokua kwenye Maombi ndomana unaweza ukawa katika maombi yakaja mawazo mengine Kati Kati ili tuu kukutoa katika viwango vile ambavyo anaona utavifikia na kumshinda. Ukisoma injili ya mathayo 16:21-23 unaona Yesu wakati anawaambia habari ya kifo chake na siku ya tatu kufufuka Petro alikua anampa moyo kwa kumfariji Yesu kwamba kifo hakitampata lakini Yesu alimkemea kwani alijua shetani alingia katika fikra za Petro .
Issue ya maombi ni jambo la kujipanga sio siri.

Wakati mwingine huwa nnaifananisha na mtu anayebeba ndoo ya maji akaikinga sehemu isiyo na bomba halafu baada ya mda fulani akaondoka huku akijipa moyo kuwa imejaa maji au itajaa maji Mungu akipenda kwa wakati wake.

Imani ni jambo la kujipanga na sio mkumbo ...
 
Imani haba ndio chanzo. Ila ukiwa na iman timilifu bhac utafunguliwa neema tulio ahidiwa
Basi ukisema Imani haba ndio chanzo unakua unaungana moja kwa moja na mtoa mada kwamba turejee kufanya Maombi katika mfumo uliopotea maana ule mfumo unakujengea imani
 
Basi ukisema Imani haba ndio chanzo unakua unaungana moja kwa moja na mtoa mada kwamba turejee kufanya Maombi katika mfumo uliopotea maana ule mfumo unakujengea imani
Imani ni suala pana sana mkuu, na kurejea kufanya maombi ktk mfumo uliopotea sijaupinga ila kwa wenye iman ya kikristo hawahitaji kufuata mfumo huo kwa sababu nilizozitoa mwanzo
 
Imani ni suala pana sana mkuu, na kurejea kufanya maombi ktk mfumo uliopotea sijaupinga ila kwa wenye iman ya kikristo hawahitaji kufuata mfumo huo kwa sababu nilizozitoa mwanzo
Kwani huo mfumo unapingana na imani ya kikristo? Au iyo research ndo imekuchanganya?
 
nashukuru mkuu kwa uzi bora kabisa kwa anao amini lakini wameshindwa kupata matokeo mazuri ya kile wanacho amini.
binafsi nimejifunza mengi sana kwenye uzi huu yahusuo maombi.
wakati fulani nillikua kwenye kikundi cha maombi tulikua tukiomba mambo mengi lakini bahati mbaya majibu yaalikua hayapatikani kwa wakati aun kutopatikana kabisa.
leo ndio nimegundua namna gani inatupasa kuomba.
 
Back
Top Bottom