Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa je Maombi yetu yanakua katika viwango vinavyokidhi Kama mtoa mada anavyouloza ?Naam, nimesoma. Kuna haja gan ya kutumia jembe la mkono kulima ikiwa trekta lipo?
Km umefuatilia vizuri nilicha andika utakuwa umeelewa. Hili suala ni la kiimani, na iman hizo pia hutofautiana japo misingi ya kufanya maombi imekuwa ikifanana kwa baadhi. Mimi nilichokilenga ni kwamba kwa waumini wa kikristo wana amini kuwa ROHO MTAKATIFU yupo kuwasaidia ktk eneo hilo hivyo hakuna haja ya kuomba km wafanyavyo wahindi & wayahudi.Sasa je Maombi yetu yanakua katika viwango vinavyokidhi Kama mtoa mada anavyouloza ?
Je wewe unaomba Kama maagizo ya Yesu katika injili ya Yohana 16:24 na wakati unaomba unachokiomba unaliona katika ulimwengu wa Roho na unatoa sadaka ya shukrani baada ya Maombi kumaanisha Maombi yashajibiwa au unakua na shaka?Km umefuatilia vizuri nilicha andika utakuwa umeelewa. Hili suala ni la kiimani, na iman hizo pia hutofautiana japo misingi ya kufanya maombi imekuwa ikifanana kwa baadhi. Mimi nilichokilenga ni kwamba kwa waumini wa kikristo wana amini kuwa ROHO MTAKATIFU yupo kuwasaidia ktk eneo hilo hivyo hakuna haja ya kuomba km wafanyavyo wahindi & wayahudi.
Mkuu, suala jinsi gan mtu anavyoomba huwa ni siri yake na Mungu wake, ndio maana faragha huwa inahusika ktk kufanya maombi binafsiJe wewe unaomba Kama maagizo ya Yesu katika injili ya Yohana 16:24 na wakati unaomba unachokiomba unaliona katika ulimwengu wa Roho na unatoa sadaka ya shukrani baada ya Maombi kumaanisha Maombi yashajibiwa au unakua na shaka?
Inaweza ikawa Siri sikatai ila je unapata majibu na unachokiomba uwa unaona tayari umekipata na unaenda madhabahuni kushukuru?Mkuu, suala jinsi gan mtu anavyoomba huwa ni siri yake na Mungu wake, ndio maana faragha huwa inahusika ktk kufanya maombi binafsi
Naam, nawe je?Inaweza ikawa Siri sikatai ila je unapata majibu na unachokiomba uwa unaona tayari umekipata na unaenda madhabahuni kushukuru?
Mimi nishajibu post za nyuma kwa upande wangu .....ila ushajiuliza watu wanahama makanisa wanafuata Nini na wanakimbilia wanaojiita manabii kufanya Nini Kama kweli wote tukiwa tunafata fundisho la Yesu kupitia Yohana 16:24?Naam, nawe je?
Imani haba ndio chanzo. Ila ukiwa na iman timilifu bhac utafunguliwa neema tulio ahidiwaMimi nishajibu post za nyuma kwa upande wangu .....ila ushajiuliza watu wanahama makanisa wanafuata Nini na wanakimbilia wanaojiita manabii kufanya Nini Kama kweli wote tukiwa tunafata fundisho la Yesu kupitia Yohana 16:24?
Issue ya maombi ni jambo la kujipanga sio siri.Hapo ndo ugumu unapoanzia ndomana kabla ya Maombi tunashauriwa tufanye Toba au kujitakasa halafu ndo tuingie kwenye Maombi Sasa tatizo linakuja kwenye mioyo yetu kuachilia Mambo yanatoyotuzunguka mfano Hali ngumu ya maisha,madeni hii inasababisha shetani kucheza na sisi kwenye ufahamu wetu
Ukisoma vizuri 2kor 10:4-5 "Maana silaha za Vita vyetu si za mwili,Bali Zina uwezo katika Mungu hata ngome;tukiangusha mawazo na Kila kitu kilichoinuka,kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu;na tukiteka nyara Kila fikra ipate kumtii kristo" hoja yangu katika mstari huu ni kwamba shetani anacheza na sisi katika fikra pale tunapokua kwenye Maombi ndomana unaweza ukawa katika maombi yakaja mawazo mengine Kati Kati ili tuu kukutoa katika viwango vile ambavyo anaona utavifikia na kumshinda. Ukisoma injili ya mathayo 16:21-23 unaona Yesu wakati anawaambia habari ya kifo chake na siku ya tatu kufufuka Petro alikua anampa moyo kwa kumfariji Yesu kwamba kifo hakitampata lakini Yesu alimkemea kwani alijua shetani alingia katika fikra za Petro .
Basi ukisema Imani haba ndio chanzo unakua unaungana moja kwa moja na mtoa mada kwamba turejee kufanya Maombi katika mfumo uliopotea maana ule mfumo unakujengea imaniImani haba ndio chanzo. Ila ukiwa na iman timilifu bhac utafunguliwa neema tulio ahidiwa
Imani ni suala pana sana mkuu, na kurejea kufanya maombi ktk mfumo uliopotea sijaupinga ila kwa wenye iman ya kikristo hawahitaji kufuata mfumo huo kwa sababu nilizozitoa mwanzoBasi ukisema Imani haba ndio chanzo unakua unaungana moja kwa moja na mtoa mada kwamba turejee kufanya Maombi katika mfumo uliopotea maana ule mfumo unakujengea imani
Kwani huo mfumo unapingana na imani ya kikristo? Au iyo research ndo imekuchanganya?Imani ni suala pana sana mkuu, na kurejea kufanya maombi ktk mfumo uliopotea sijaupinga ila kwa wenye iman ya kikristo hawahitaji kufuata mfumo huo kwa sababu nilizozitoa mwanzo
Unapingana kabisa, km zipo njia mpya na za kisasa kwanini tutendelee kutumia njia za kale?Kwani huo mfumo unapingana na imani ya kikristo? Au iyo research ndo imekuchanganya?
Tumeziacha zilizo sahihi ila sio kwamba no za kaleUnapingana kabisa, km zipo njia mpya na za kisasa kwanini tutendelee kutumia njia za kale?
Sii kila kitu kilicho sahihi kwako bhac ni sahihi kwa kila mtuTumeziacha zilizo sahihi ila sio kwamba no za kale
Ni kweli......ila kwa mujibu wa Yohana 16:24 ndo usahihi ulipoSii kila kitu kilicho sahihi kwako bhac ni sahihi kwa kila mtu