JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
TAMS ni kifupi cha Tanzania Advocate Management System, mfumo unaomuwezesha mtu kutambua endapo wakili anaruhusiwa kufanya kazi za uwakili, amefungiwa, amehuisha leseni yake au la.
Ikiwa utatumia Wakili ambaye haruhusiwi kufanya kazi za uwakili kutokana na sababu yoyote ile itapelekea nyaraka zote alizoziandaa wakili huyo kukosa uhalali
Hatua za kufuata ili kufahamu zaidi kuhusu Wakili
1. Ingia kwenye tovuti ya TAMS - tams.judiciary.go.tz
2. Andika jina la wakili wako
3. Utapatiwa maelezo pamoja na picha yake
Upvote
1