Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
172
Reaction score
243
aiseeee

Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION"

what the hell is this???
 
Itakuwa kuna sehemu amekosea hakuna shida yoyote.
 
Back
Top Bottom