Mfumo wa Luku haufanyi kazi

Mfumo wa Luku haufanyi kazi

Status
Not open for further replies.

josias

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
47
Reaction score
34
Jioni ya Leo Tarehe 28/08/2023 mfumo wa ununuzi wa LUKU kupitia njia zote (Mitandao ya Simu, Bank na hata Mawakala) haufanyi kazi. Jambo la kusikitisha TANESCO hawajatoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili.

Tuna safari ndefu kama Taifa.
 
Du nilijua kwangu tu mana jana nimenunua luku lakini kila nikiweka hauingii
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, tunapenda kufahamu kama umeshapata utatuzi wa changamoto hiyo, kama bado tufahamishe kwa usaidizi zaidi.^OK
 
mmeitiwa Tanesco hapa amekuja,hamna mwenye hoja ya maana. Mie nimenunua luku saa moja iliyopita na mfumo unafanya kazi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom