Jioni ya Leo Tarehe 28/08/2023 mfumo wa ununuzi wa LUKU kupitia njia zote (Mitandao ya Simu, Bank na hata Mawakala) haufanyi kazi. Jambo la kusikitisha TANESCO hawajatoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, tunapenda kufahamu kama umeshapata utatuzi wa changamoto hiyo, kama bado tufahamishe kwa usaidizi zaidi.^OK