Mfumo wa LUKU warejea

Hii serikali siasa imetawala kila mahala, kiufupi ni kwamba mtandao wa LUKU haupatikani si tu kwenye vituo vya mawakala wao bali kila mahala hakuna huduma.
 
Kiutendaji tunachangamoto sana.. hatuko serious na mambo ya msingi. Inakera mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…