Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.
Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.
Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.
PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.
Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee