KERO Mfumo wa maombi Postgraduate UDOM una shida gani? UDOM rekebisheni huo mfumo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

tiego

New Member
Joined
Jul 23, 2025
Posts
3
Reaction score
6
Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.

Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.

Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.

PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.

Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee
 
Wew ukiona wanakusumbua piga chini hapo tafuta chuo kingine na wew siyo mgeni kweny hivi vitu umeshapiga na undergraduate.

Sasa hiyo kusema udom ni havard of africa🤔 siyo kweli .udom ni kubwa tuu kwa eno

Lakn kozi nyingi sana hawatoi sasa hiyo harvard 😂 inatoka wap mfano kama engineering wenye nikweny mambo ya tehama tuu . Lakin hamna uhandisi mama kama civil ,mechanical ,na electrical sasa hapo hiyo harvard wanatumia kigezo gani?

Wakati wana makozi mengi tuu ambayo hayana maana yeyote zaidi ya kula ada za watu tuu. Embu fafanua hapo kweny harvard ni kivip?
 
Kwakweli mimi nimekutana na changamoto hiyo. Naambiwa password ni incorrect na ukireset hawatumi code kwenye email. Nimeamua kupiga chini na kuomba chuo chengine
Ayo ndio maamuzi bora kama hamna huduma nzr ww unaenda pengine
 
Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.

Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.

Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.

PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.

Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee
Nenda UDSM mkuu
 
Mkuu tiego nakushauri kama unataka umalize masomo yako kwa wakati na bila usumbufu, usiombe vyuo vya serikali, omba vya private. Usiniulize kwa nini wewe ukipuuzia just do for your own risk. Nakuhakikishia kama utaipuuzia komenti hii kwa sasa ipo siku utaielewa na itakuwa too late!
 
Tupe ufafanuzi mkuu, vyuo vya serikali vina shida gani?
Mimi nimeomba diploma huko.
 
Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.

Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.

Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.

PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.

Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee

Tatizo linaloonekana kwenye mfumo wa maombi ya postgraduate UDOM ni la system performance na availability. Mfumo haujapimwa vizuri kwenye load capacity (idadi kubwa ya users kwa wakati mmoja), ndiyo maana unakosa majibu (not responding). Hii inatokea mara nyingi pale ambapo server resources (CPU, RAM, bandwidth) ni ndogo au configuration si sahihi.
 
Kwakweli mimi nimekutana na changamoto hiyo. Naambiwa password ni incorrect na ukireset hawatumi code kwenye email. Nimeamua kupiga chini na kuomba chuo chengine

Unapopata error ya incorrect password kisha reset password haifanyi kazi na hakuna code inatumwa, hiyo ni dalili ya broken email/SMS gateway integration yaani mfumo wao wa kutuma verification codes haupo synced na database ya applicants.

Moja kwa moja huu ni udhaifu wa system design na poor user support. UDOM wanatakiwa waboreshe sana upande wa authentication na support channels kabla ya kujilinganisha na vyuo vikubwa duniani.
 
Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.

Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.

Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.

PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.

Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee
Deadline inaonesha ni 30 Agosti, 2026 au watakuwa wamekosea ni 2025?
1756626072220.png
 
Harvard of Africa ndo kile Chuo cha kata?
😂😂😂😂😂😂 watu mna masikhara na Taaluma na vyuo vya watu. Lol
 
Back
Top Bottom