Wew ukiona wanakusumbua piga chini hapo tafuta chuo kingine na wew siyo mgeni kweny hivi vitu umeshapiga na undergraduate.Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.
Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.
Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.
PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.
Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee
Ayo ndio maamuzi bora kama hamna huduma nzr ww unaenda pengineKwakweli mimi nimekutana na changamoto hiyo. Naambiwa password ni incorrect na ukireset hawatumi code kwenye email. Nimeamua kupiga chini na kuomba chuo chengine
Nenda UDSM mkuuWadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.
Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.
Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.
PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.
Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee
diploma udom?Tupe ufafanuzi mkuu, vyuo vya serikali vina shida gani?
Mimi nimeomba diploma huko.
Kwani hakuna diploma UDOM?diploma udom?
Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.
Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.
Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.
PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.
Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee
Kwakweli mimi nimekutana na changamoto hiyo. Naambiwa password ni incorrect na ukireset hawatumi code kwenye email. Nimeamua kupiga chini na kuomba chuo chengine
ipo ya nursing tuKwani hakuna diploma UDOM?
Deadline inaonesha ni 30 Agosti, 2026 au watakuwa wamekosea ni 2025?Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.
Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.
Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.
PS UDOM nao wapunguze maringo mengi.
Wanajiita Harvard of Africa wakati huduma zinasuasua. Sio kama watu tunaenda bure waboreshe hiyo mifumo ya maombi aisee
Unasemaa?Harvard of Africa ndo kile Chuo cha kata?
ππππππ watu mna masikhara na Taaluma na vyuo vya watu. Lol
Rhabhekhaaaa!!Unasemaa?