Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa O-level

Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa O-level

Itug

Senior Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
196
Reaction score
72
Je Unataka mfumo wa kuchakata matokeo kwa shule yako? Mfumo huu hapa utakusaidia kuandaa matokeo, ripoti na timetable kwa urahisi zaidi.
Unapatikana hapa, download tu na anza kutumia
ILI KUTUMIA
1. hakikisha unatumia computer yenye MS office (iwe na ms excel)
2. Fungua file kwa ku-double click (inategemea setting za computer yako)
3. Utajaza sehemu chache tu. Jaza majaribio, mitihani, tabia, na timetable. halo umeshapata ripoti na timetable zako zote.
Ikiwa mfumo haukidhi idadi ya wanafunzi ulionao, wasiliana na watengenezaji utapewa mfumo utakao kufaa.
Ni rahisi kuprint, print set-up imeshafanyika wewe ni mwendo wa ctrl+P tu.
kwa ushauri maori na ukosoaji waandikie watengenezaji. Mimi ni msambazaji tu! Nimeupenda na kwa kawaida, kizuri kula na wenzako.
Mfumo wa primary
mfumo wa O-level
mfumo wa A-level

CLICK HERE to get other systems (in excel)

Mfumo uko protected, one-time password imewekwa hapo kwenye file (Home) unatakiwa kutumia hii password maramoja tu kwa mfumo kisha mfumo utajifunga wenyewe ukisha-save, na password haitatumika tena.
Password itakusaidia ku-edit jina la shule, halmasahuri, majina ya waalimu na masomo yao, vitu kama mwaka, muhula na kidato havitajifunga , utaweza ku-edit kila mara.
 

Attachments

Back
Top Bottom