Mfumo wa Napa kama umekaa kutrace watu japo siweki wazi kama programmer

Mfumo wa Napa kama umekaa kutrace watu japo siweki wazi kama programmer

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mfumo ambao ulianzishawa wakati mifumo ya idara nyingi zinaweza kuwa sehemu zake ila nimeona sababu ya kushtuka sio kila mambo kuweka wazi.

Hii App Napa kwa mtindo ambao kama tutamaliza mzozo wa mambo ya katiba na mifumo mibovu ya serikali basi leo msije kusema mpo salama.

Mfumo huu unatrace mwenendo wako kwa dirisha la nyuma.

SIPENDI KUJISUMBUA ILA WALE MANAOLEKEA NDIO MTAFIKIWA.
 
Back
Top Bottom