Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hi!

Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana.

Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana.

Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine.

Mimi sijaomba na sina mpango nazo, maana nikiomba na kupata naona nitakuwa nimedhulumu shilingi ya jobless mmoja aliyeko mtaani.
Hii system ni nzuri.
 
Makomredi wa chama, mabalozi wa mashina, na wenyeviti wa vijiji na mitaa bado wanayo kofia ya kuwabana hao waombaji. Maana ukishaomba mtandaoni majina yanaenda kujadiliwa ofisi za Kata husika. Hapo ndipo uliowataja wanaingia kuupiga mwingi
 
No.
Hayapitishwi huko ndugu.
Wale ni kama wanatoa utambulisho wa mwananchi tu kazi yao inaishia hapo.
Kama huko kwenu wanawadanganya ili wawapige pesa poleni
 
Hi!

Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana.

Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana.

Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine.

Mimi sijaomba na sina mpango nazo, maana nikiomba na kupata naona nitakuwa nimedhulumu shilingi ya jobless mmoja aliyeko mtaani.
Hii system ni nzuri.
Gusa TAMISEMI uone moto
 
Mfumo mzuri sana umetengenezwa na majamaa kutoka Chuo cha Takwimu wako changanyikeni Dar es Salaam.....
 
No.
Hayapitishwi huko ndugu.
Wale ni kama wanatoa utambulisho wa mwananchi tu kazi yao inaishia hapo.
Kama huko kwenu wanawadanganya ili wawapige pesa poleni
Wamesema ukishascan kopi unarudisha kwa mtendaji, ya nini?
 
Hawa matapeli wameminywa wanabaki kulialia tu.
Wenyewe maafisa wa kata na mitaa wako busy kuomba lakini hawana uhakika wa kupata
 
Wamesema ukishascan kopi unarudisha kwa mtendaji, ya nini?
Kama kumbukumbu tu ila tambua kuwa hapatakuwa na negation kati ya NBS na watumishi wa local government kuhusu kupitisha majina.
Watakapoona kuna udanganyifu na mistake zingine kubwa ndipo watawasiliana
 
No.
Hayapitishwi huko ndugu.
Wale ni kama wanatoa utambulisho wa mwananchi tu kazi yao inaishia hapo.
Kama huko kwenu wanawadanganya ili wawapige pesa poleni
Ukishaomba majina yote yanajadiliwa na ofis ya kata, hizo taarifa unazotuma kweny mfumo ni kwend tu kweny data base ya nbs lkn hawa unaowakimbia kaa nao karibu ndg yangu, ukiwakwepa watakukwepa utaangukia tumbo
 
Mimi sijaomba na sina mpango wa kuomba.
 
No.
Hayapitishwi huko ndugu.
Wale ni kama wanatoa utambulisho wa mwananchi tu kazi yao inaishia hapo.
Kama huko kwenu wanawadanganya ili wawapige pesa poleni
Hujui unachoongea mkuu, soma hapo kwenye utangulizi

769D820B-B3E7-4F09-B2AC-438EE8142D9B.jpeg
 
Back
Top Bottom