Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hawana NIDAWenye Ajira wote wasipewe angalau wanangu wa graduate waongeze mtaji
Kabisa.Wenye Ajira wote wasipewe angalau wanangu wa graduate waongeze mtaji
No.Makomredi wa chama, mabalozi wa mashina, na wenyeviti wa vijiji na mitaa bado wanayo kofia ya kuwabana hao waombaji. Maana ukishaomba mtandaoni majina yanaenda kujadiliwa ofisi za Kata husika. Hapo ndipo uliowataja wanaingia kuupiga mwingi
Gusa TAMISEMI uone motoHi!
Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana.
Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana.
Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine.
Mimi sijaomba na sina mpango nazo, maana nikiomba na kupata naona nitakuwa nimedhulumu shilingi ya jobless mmoja aliyeko mtaani.
Hii system ni nzuri.
Wenyeviti wa CCM wamekaa kitapeli snNo.
Hayapitishwi huko ndugu.
Wale ni kama wanatoa utambulisho wa mwananchi tu kazi yao inaishia hapo.
Kama huko kwenu wanawadanganya ili wawapige pesa poleni
Mfumo mzuri sana umetengenezwa na majamaa kutoka Chuo cha Takwimu wako changanyikeni Dar es Salaam.....Hi!
Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana.
Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana.
Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine.
Mimi sijaomba na sina mpango nazo, maana nikiomba na kupata naona nitakuwa nimedhulumu shilingi ya jobless mmoja aliyeko mtaani.
Hii system ni nzuri.
Wamesema ukishascan kopi unarudisha kwa mtendaji, ya nini?No.
Hayapitishwi huko ndugu.
Wale ni kama wanatoa utambulisho wa mwananchi tu kazi yao inaishia hapo.
Kama huko kwenu wanawadanganya ili wawapige pesa poleni
Hawa matapeli wameminywa wanabaki kulialia tu.Mfumo mzuri sana umetengenezwa na majamaa kutoka Chuo cha Takwimu wako changanyikeni Dar es Salaam.....
Kama kumbukumbu tu ila tambua kuwa hapatakuwa na negation kati ya NBS na watumishi wa local government kuhusu kupitisha majina.Wamesema ukishascan kopi unarudisha kwa mtendaji, ya nini?
Ukishaomba majina yote yanajadiliwa na ofis ya kata, hizo taarifa unazotuma kweny mfumo ni kwend tu kweny data base ya nbs lkn hawa unaowakimbia kaa nao karibu ndg yangu, ukiwakwepa watakukwepa utaangukia tumboNo.
Hayapitishwi huko ndugu.
Wale ni kama wanatoa utambulisho wa mwananchi tu kazi yao inaishia hapo.
Kama huko kwenu wanawadanganya ili wawapige pesa poleni
Mimi sijaomba na sina mpango wa kuomba.Ukishaomba majina yote yanajadiliwa na ofis ya kata, hizo taarifa unazotuma kweny mfumo ni kwend tu kweny data base ya nbs lkn hawa unaowakimbia kaa nao karibu ndg yangu, ukiwakwepa watakukwepa utaangukia tumbo
Ni sawa na kusema Bakresa asiuze juice coz wapo wauzaji wadogo atakuwa anawaoneaKabisa.
Kuomba ajira hizi huku unalipwa kila mwezi ni ukatili
Hujui unachoongea mkuu, soma hapo kwenye utanguliziNo.
Hayapitishwi huko ndugu.
Wale ni kama wanatoa utambulisho wa mwananchi tu kazi yao inaishia hapo.
Kama huko kwenu wanawadanganya ili wawapige pesa poleni