KERO Mfumo wa OLAMS unagoma

KERO Mfumo wa OLAMS unagoma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Joe35

New Member
Joined
Jan 18, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Mfumo wa OLAMS ukiweka verification number kutoka RITA inagoma kabisa.
Shida ni ipi!!?
 
Tarehe 15/02/2025 mfumo wao ulikuwa haufunguki kabisaa, watu wengi sana walishondwa kusubmit application zao, HESLB waliangalie hili
 
Back
Top Bottom