Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu hujaenielewa nachomanisha mfano kama bot kuna kiasi cha tilioni 100 ambacho ukicheck na kubalance kiasi katika term ya digit kwenye computer kinawiana na cash, sasa mkubwa yeyote pale akaamua kuongeza digit mfano kwenye tilioni 100 akaongeza sifuri hata 4 na zikasomeka tilioni laki 1 wakati katka mfumo wa cash/notes+coins zikabaki vilevile tilioni 100 halafu hapohapo akafanya ununuzi mfano china kwa njia ya kieletronic je nchi husika itajuaje kwamba manunuzi yaliyofanyika ni hela hewa? Mfano rahisi labda ww umepeleka hela elf10 teller akakosea na kuongeza sifuri 2 mbele na kusomeka kama milion 1 je hiyo haiwez ikatokea staf wa bot akafanya makusudi kwa nchi za nje make hapo anakuwa hajaimiza nchi yake bali nchi alikofanya manunuzi make yeye anadeliver material?
BOT Tanzania kitu ilicho na control nacho ni shilingi zetu.
Kwenye biashara za kimataifa tunatumia mitandao inayodhibitiwa kimataifa ambayo Watanzania hawana access ya kuweza kubadili figures. Ni kama uwe na debit card, unaweza kuona salio lakini huwezi kubadili namba.