Mfumo wa pesa kizungumkuti


BOT Tanzania kitu ilicho na control nacho ni shilingi zetu.

Kwenye biashara za kimataifa tunatumia mitandao inayodhibitiwa kimataifa ambayo Watanzania hawana access ya kuweza kubadili figures. Ni kama uwe na debit card, unaweza kuona salio lakini huwezi kubadili namba.
 

Walishafanya hiyo ya kuongeza sifuri hao mastaf wa bot asee walibembea walisumbua hapa mjini mpaka
 

Kuna ukweli fulani katika hizo lower denominations, especially now that shilingi yetu imeshuka thamano sana.

Lakini, kitu kama sarafu hakiishii tu kama hela na.kitu cha kouchumi. Ni suala.la.kisiasa.pia. Srafu ina a non monetary value kwamba hii ni alama ya nchi, something priceless.

Kwa hiyo hizo zitakuwepo tu hata kama thamani yake (face value) itakuwa ndogo kuliko thamani ya madini yanayoitengeneza.

Ila hizi zinatakiwa zisiwe nyingi sana kwa sababu zikiwa nyingi zitazidisha gharama.

Au tuanze kuondoa zile za denomination za chini kabisa.
 
Walishafanya hiyo ya kuongeza sifuri hao mastaf wa bot asee walibembea walisumbua hapa mjini mpaka

wangekuwa wanafanya ufisadi wa hivi kuwaumiza wazungu mathalani kununua heavy machine watz tungekuwa mbali sana!
 

Toa jibu we profesa majalala!
 

Hizo ni qualities of money mkuu,bado kuna maswal mkuu ya wadau yanataka majibu!!
 

ndugu yangu kama noti zenye thamani ya Tsh milioni kumi zimechakaa na benki ikazichoma moto au kuziondoa kwenye mzunguko kisha ikaingiza kiasi hkohiko tena kwenye mzunguko kwa noti mpya;je itapunguzaje pesa kwenye mzunguko?
 
ndugu yangu kama noti zenye thamani ya Tsh milioni kumi zimechakaa na benki ikazichoma moto au kuziondoa kwenye mzunguko kisha ikaingiza kiasi hkohiko tena kwenye mzunguko kwa noti mpya;je itapunguzaje pesa kwenye mzunguko?

Kati ya za zamani zinapochomwa na mpya zinapokuja inabidi kupanga ratiba ya kuziingiza mpya katika mzunguko huku za zamani zikichomwa moto, ili kusiwe na uhaba sana wa fedha na wala fedha zisijae sana mtaani.
 
Kati ya za zamani zinapochomwa na mpya zinapokuja inabidi kupanga ratiba ya kuziingiza mpya katika mzunguko huku za zamani zikichomwa moto, ili kusiwe na uhaba sana wa fedha na wala fedha zisijae sana mtaani.

nionavyo mimi njia zinazotumika kuinject money into circulation ni ile ile,so hata kama wataamua kuzibadili noti haiwez kuwa kwa mara moja kwasababu noti chakavu haziendi kwa mara moja benki kuu.

Labda niongeze swali;hivi pale inapotokea hela imepotea au imeungua,benki kuu inatrace vipi kujua hela kiasi kadhaa imeondoka kwenye mzunguko?
 

Hawawezi kuzibadili mara moja, lakini pia hawawezi kuchoma moto noti moja moja na kuzibadilisha kwa mpya.

Kwenye nchi zenye a credible banking system a good percent of cash must return to the banking system and from there, in theory at least, within a specified margin of error, central banks could gauge the supply of money in the system and regulate as necessary.

Kwetu huko ambako kuna watu wengi wanalalia fedha kwenye magodoro it is another case.
 
kuna documentary moja niliicheki inaitwa money as debt. ziko tatu ila nimecheki mbili. pesa mara nyingi inavyoingizwa kwenye mzunguko huwa ni deni ambalo linatakiwa kurudi na faida. yaani ikiingia 1000 itatakiwa kurudi 1100,1200 au 1300 kulingana riba. pia inazungumzia historia ya pesa toka enzi za magoldsmith hadi modern banking. inaeleza jinsi mfumo wa pesa wa dunia ulivyo mbaya, mabenki yanavyo tengeneza faida out of nothing na jinsi yanahakikisha watu hawafundishi somo la jinsi pesa zinatengenezwa. itafute ni nzuri sana.
 
mi najua kama tanzania wanataka kuipa kampuni tenda ya kutengeneza pesa wanailipa hiyo kwa pesa za kufanyia biashara za kimataifa kama dollar. hiyo pesa siyo lazima iwe equivalent na shillingi iliyotengenezwa. inawezekana kutengeneza 10,000 ukatumia 1000. na kutengeneza 50 ukatumia 80. jambo la kuzingatia ni kuwa kazi ya pesa ni kwenda kurahisisha biashara kwa hiyo inakuwa inakazi yenye thamani kubwa.
kutengenezewa hela sio sawa na kuweka oda ya kutengenezewa viatu ukauze.
 
Hapo hapo naongezea, wakati nchi haina hela kwanini tusiwaambie marafiki zetu wachina wakatujengea kiwanda cha hela hapa ili tuzalishe wenyewe
ukifanya hivyo utapunguza thamani ya pesa yako na kuongeza mfumuko wa bei. hizi zilikuwaga akili za idi amini.
 
Hapo hapo... ni kiasi gan hutengenezwa kwa mwezi...? Na ikija inaingilia wapi....? I mean anapewa nan
njia kubwa ni benki kuu, kisha benki za biashara kulingana mtaji wako harafu kwenye mzunguko huuingia watu wakienda benki kukopa. hata serikali nayo hukopa.
 
zamani ilikuwa hivyo lakini mattumizi ya dhahabu yalikoma miaka ya 1970's.
 
Hela mbona ni bidhaa tu, inauzwa na kununuliwa kwa hela hata baada ya kuchapishwa.

Unapoenda benki kuomba mkopo, ukapewa mkopo kwa interest rate si unakuwa umenunua hela kwa hela hapo, au vipi?
hapo ndiyo huwa nawashangaa wanaosema riba ni dhambi wakati bidhaa zingine wanauza kwa faida!?
 
njia kubwa ni benki kuu, kisha benki za biashara kulingana mtaji wako harafu kwenye mzunguko huingia watu wakienda benki kukopa. hata serikali nayo inatakiwwa hukopa!. jap nina na serikali zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…