Mfumo wa 'salary slip' haufanyi kazi

Mfumo wa 'salary slip' haufanyi kazi

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Natumai hamjambo. Toka jana najaribu kufungua salary slip, matokeo ni kuwa huduma haipatikani.

Mh. Mwigulu umeona tozo hazitoshi sasa umeamua kufunga mfumo ili tusione mnavyotuibia?

Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
 
Deni la heslb nenda mtandanoni kwao kwenye repayment,au uende kwenye ofisi zao.Deni lililopo kwenye salary slip si lenyewe.
 
Sijui lini nitaanza kukatwa hilo deni, sijui limefika milioni ngapi…. sijui tu.
 
Itakua wamekata deni na bado amount imebaki vile vile
 
Natumai hamjambo. Toka jana najaribu kufungua salary slip, matokeo ni kuwa huduma haipatikani.

Mh. Mwigulu umeona tozo hazitoshi sasa umeamua kufunga mfumo ili tusione mnavyotuibia?

Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
Mfumo wetu ni wa ovyo. Salary slip inatakiwa ionekane kabla ya mshahara ili mtu ajue ni kiasi gani atapokea !!!
 
Deni la heslb nenda mtandanoni kwao kwenye repayment,au uende kwenye ofisi zao.Deni lililopo kwenye salary slip si lenyewe.
Wanatakiwa warekebishe ili Deni lifanane kote maana kitu Cha msingi hapa sio kupunguzia Deni uko website alafu hazina waendelee kukata wakati mtu amemaliza deni
 
Back
Top Bottom