Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
kwani ulichopokea jana huwezi kujua HESLB imekata ngapi?Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
Deni la heslb nenda mtandanoni kwao kwenye repayment,au uende kwenye ofisi zao.Deni lililopo kwenye salary slip si lenyewe.Natumai hamjambo. Toka jana najaribu kufungua salary slip, matokeo ni kuwa huduma haipatikani.
Mh. Mwigulu umeona tozo hazitoshi sasa umeamua kufunga mfumo ili tusione mnavyotuibia?
Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
Mfumo wetu ni wa ovyo. Salary slip inatakiwa ionekane kabla ya mshahara ili mtu ajue ni kiasi gani atapokea !!!Natumai hamjambo. Toka jana najaribu kufungua salary slip, matokeo ni kuwa huduma haipatikani.
Mh. Mwigulu umeona tozo hazitoshi sasa umeamua kufunga mfumo ili tusione mnavyotuibia?
Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
Wanatakiwa warekebishe ili Deni lifanane kote maana kitu Cha msingi hapa sio kupunguzia Deni uko website alafu hazina waendelee kukata wakati mtu amemaliza deniDeni la heslb nenda mtandanoni kwao kwenye repayment,au uende kwenye ofisi zao.Deni lililopo kwenye salary slip si lenyewe.