Mfumo wa TRA ajira leo hovyo

Mfumo wa TRA ajira leo hovyo

Ujinga wa system kusumbua huwezi kuukuta ajira portal. The whole day simu ya hovyo hasa kwenye qualifications. To be sensible, ni kufanya assessment ya system, kama kuna ukweli ni lazima wafanye extension.
Haina maana ya kuwa na siku 14 halafu hiyo siku, mfumo usifanye kazi
 
Kwa nini alisubiri mpaka deadline mkuu?
Deadline isiwe kisingizio!

Pata picha mfumo huu ungekuwa una tumiwa na dunia nzima, una zani ata hiyo siku ya kwanza kabla deadline unge weza kuomba?

Sio mara ya kwanza mifumo ya namna hii kuwa na mushkeli...

Mfano tu:-
Ikifika wakati wa mtokeo Necta ni tatizo
Ikifika wakati wa matokeo tamisemi ni tatizo

Hawa kujipanga, kuwa deadline isiwe tatizo sababu bado walikuwa ndani ya Muda, walio wanyima kuomba ni wao TRA kwa system yao mbovu

Je inge kuwa watu wana tumia huyo system kulipa kodi siju hiyo? Ina maana serikali ina poteza mapato kwa uzembe wa wataalam waliopo ofisini

Huu ni uzembe deadline sio sababu, hawa watu wange kuwa wana fanya maombi leo sawa maana muda umekwisha lakini walikuwa ndani ya Muda wa maombi
 
Wanahujumu eGov ionekane haina mpango...
Sizani kama wana tumia ega!

Wana system zao nyingi za online, hii iwe kipimo cha kuzipitia hizo system zote ili uko mbele zisilete shida

Kuna Rita portal nayo ni shida tu’

Kuna system hazipo sawa na kuna zingine zina onekana zipo sawa kwa sababu watumiaji sio wengi Au hawa ingii katika system kwa wakati mmoja
 
Nadhani basi ni tatizo lisilotibika
 
Ujinga wa system kusumbua huwezi kuukuta ajira portal. The whole day simu ya hovyo hasa kwenye qualifications. To be sensible, ni kufanya assessment ya system, kama kuna ukweli ni lazima wafanye extension.
Haina maana ya kuwa na siku 14 halafu hiyo siku, mfumo usifanye kazi
Ina bidi wajitathimini, kuna mapungufu mengi ya mfumo

Kifupi hawa kujiandaa, bora wangesema watu watume barua posta kama halmashauri zinavyo fanya
 
Nadhani basi ni tatizo lisilotibika
Nazani Bado serikali haija wekeza nguvu katika hili eneo japo wana tamani kufanya vyema sana ktk hili eneo...!

Ata brela portal kuna muda ni kituko tu!
 
Ni uzembe, na always tunajitete eti na hiyo siku ya mwisho si ni siku?.
Ila ni uzembe sana, yaan siku 14 we usubiri siku ya mwisho?
Procrastination....

Ni ugonjwa mbaya sana...

Kazi ukiiona omba siku hiyo hiyo...

Leo ni siku ya mwisho. Kila mtu anahangaika. Si ajabu servers zao zimeelemewa....

Kusubiri deadline ni hatari maana ishu ikitokea huna breathing room unabakia kulaumu bure...
 
Ni uzembe, na always tunajitete eti na hiyo siku ya mwisho si ni siku?.
Ila ni uzembe sana, yaan siku 14 we usubiri siku ya mwisho?
Hiyo siku ya mwisho haikutakiwa kutumika?

Je hawa ndio wange kuwa wana endesha mtandao wao kama tiktok, IG, telegram, whatsapp nk ambapo wana kutana na watumiaji bilioni na zaidi!

Je wange weza kuwa hudumia? Kama hawa lakini na ushee ambao hawa fikiria ata milioni moja ni tatizo kwa system yao!

System kiufupi mbovu na watendaji wameshindwa kazi na kazi yao haija onekana kama ni mapato ya serikali siku ya jana wameikosesha kwa uzembe wao
 
Iyo
Ujinga wa system kusumbua huwezi kuukuta ajira portal. The whole day simu ya hovyo hasa kwenye qualifications. To be sensible, ni kufanya assessment ya system, kama kuna ukweli ni lazima wafanye extension.
Haina maana ya kuwa na siku 14 halafu hiyo siku, mfumo usifanye kazi
Siyo leo mie nilijaribu toka siku4 nyuma,ikawa inanigomea,nikapotezea manake tayar nina ajira serikalin,nilitaka kuhama huku niliko.
 
Back
Top Bottom