Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Sever kuelemewa sio tatizo la muombaji ni tatizo lao hilo, wao ndio wana takiwa kushughulikia...!Procrastination....
Ni ugonjwa mbaya sana...
Kazi ukiiona omba siku hiyo hiyo...
Leo ni siku ya mwisho. Kila mtu anahangaika. Si ajabu servers zao zimeelemewa....
Kusubiri deadline ni hatari maana ishu ikitokea huna breathing room unabakia kulaumu bure...
Mitandao ya mawasiliano inge kuwa Ina elemewa hivi na wateja kupata huduma mbovu uta kuja kuwa pangia siku za kuongea na simu Au kutumia mtandao?
Kuwa ungea Usiku sana siku ya krisimasi na mwaka mpya jitahidi kuongea mapema?
Waboreshe system yao!
Tangu siku ya kwanza watu wana omba huku wana piga simu kwa wahusika wana rekebisha system huku watu wana omba!
Kiufupi system haikuwa sawa! Ni haraka zao wakati hawa kuwa tayari!