Mfumo wa ukaguzi wa magari (MIMIS) hautoi control au ni mimi nakosea?

Mfumo wa ukaguzi wa magari (MIMIS) hautoi control au ni mimi nakosea?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Nimejaza taarifa za magari 2 na yote sijapata hata jirani yangu nae hivyo hivyo. Angalia picha
IMG_3791.jpeg
IMG_3790.jpeg
 
Kuna aliefanikiwa kupata control number?
 
Back
Top Bottom