Mfumo wa ukataji tiketi wa SGR upo vizuri sana Mkurugenzi Kadogosa apewe maua yake

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa

Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)

Nakubali SGR ina changamato za hapa na pale ambazo kwa taasisi za kibongo bongo za serikali tushaziozea ila kwenye swala la mfumo wao wa online ticket wapewe maua yao,wako vizuri.

My take:TRC na serikali hakikisheni hamcheki na kima yoyote anayeijuhumu SGR hata wafanya kazi wenu pia kama wanahusika mara moja wachuliwe hatua mradi huu umekula kodi zetu nyingi na ni muhimu sana imagine Dar Dom masaa matatu na nusu tu tena hapo limetembea na average speed ya 112.
 
Hata uelezea ubora huo wakukata tiketi mtandaoni uko je link hujaiweka, maneno mengi point hamna, tatizo la machawa nikujisahao kuona kila mtu ni chawa.
 
Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa

Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)

Nakubali SGR ina changamato za hapa na pale ambazo kwa taasisi za kibongo bongo za serikali tushaziozea ila kwenye swala la mfumo wao wa online ticket wapewe maua yao,wako vizuri.

My take:TRC na serikali hakikisheni hamcheki na kima yoyote anayeijuhumu SGR hata wafanya kazi wenu pia kama wanahusika mara moja wachuliwe hatua mradi huu umekula kodi zetu nyingi na ni muhimu sana imagine Dar Dom masaa matatu na nusu tu tena hapo limetembea na average speed ya 112.
chawa , chawa, chawa
 
Back
Top Bottom