Mfumo wa umiliki wa vilabu vya soka na maendeleo

Mfumo wa umiliki wa vilabu vya soka na maendeleo

babacollins

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
901
Reaction score
212
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa kwani linalenga katika kuleta mafanikio na maendeleo.

Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwa mfumo/aina yoyote ile ya umiliki au uendeshaji wa timu/klabu uongozi wenye maarifa na ujuzi wa kiuongozi katika utawala ndio msingi mkuu wa mafanikio na maendeleo.

Ni mimi mchezaji kiongozi.
 
Back
Top Bottom