Mfumo wa upandaji vyeo kwenye majeshi ya Wizara ya Mambo ya Ndani utawafanya watumishi walogane kwa kweli. Nimecheka sana

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuna miamba imekunjwa bia hapa Mwenge imekaa inajadili mambo ya kijeshi....miamba hii inaongea kwa uchungu hadi natamani kuwarekodi wanavyopayuka kuhusu dhulma za upandishwaji vyeo wizara ya mambo ya ndani.

Washenzi wanajitia kumsaidia uchaguzi JPM lakini akakataa wasipandishwe vyeo na sasa hivi tena mama naye kawatema.........nimefurahi sana kwamba kumbe hawa walimpigania mzee baba wakidhani atawapatia haki....

Pamoja na chuki niliyonayo kwao inaonekana huko kwenye majeshi ya Ministry of internal affairs ya kwetu hakuna haki.....this guy's Wana point kwamba JPM alikataa makusudi kuwapandisha sasa wamezeeka wanaelekea kustaafu tena mapendekezo yamepelekwa majina yao yamekatwa......yaani nilikatwa tu.

Kwa namna hizi njemba zilivyo na uchungu sitegemei kuwaona mwakani walkiwatetea wanasiasa kwenye siasa. Wanatumika vibaya sana

Lakini nimegundua mfumo wa upandishwaji vyeo huko kwao una shida; hakuna haki. Watu wanapandishwa siyo kwa performance bali inategemea upo kundi gani.....na nadhani ndo maana compitence hakuna.

Kama alivyoeleza Jaji Mugisha kuhusu shida ya kuongeza muda kwa Jaji Mkuu nadhani watumishi wa umma wananyanyaswa sana kwenye hii mifumo ya siri ya upandishwaji vyeo.

Lakini pia nimependa kufahamu kwamba wale waliokataliwa kupandishwa na JPM bado wakamshabikia kwenye election wapo wanaumia na watastaafu wakiwa maskini na vyeo duni. Dhambi ya kukwapua uchaguzi haitawaacha vizuri.....baguanene na kulogana hadi mshike adabu.

Kwenye pombe kuna raha sana; hata makamanda wakilewa wanalia kwa sauti......Waone watu na magwanda ukadhani wanaweza kujipigania....ndugu yangu hawa watu wanatesekaaaaaaaa
 
Vilaza na mazuzu hao wanaishi kwa kutegemea hisani badala ya weledi,tuna safari ndefu sana kama taifa
 
Jeshi la Polisi na Waalimu waache wasote,siyo wa kuwatetea kabisa!
 
Kuna miamba imekunjwa bia hapa Mwenge imekaa inajadili mambo ya kijeshi....miamba hii inaongea kwa uchungu hadi natamani kuwarekodi wanavyopayuka kuhusu dhulma za upandishwaji vyeo wizara ya mambo ya ndani.

Washenzi wanajitia kumsaidia uchaguzi JPM lakini akakataa wasipandishwe vyeo na sasa hivi tena mama naye kawatema.........nimefurahi sana kwamba kumbe hawa walimpigania mzee baba wakidhani atawapatia haki....

Pamoja na chuki niliyonayo kwao inaonekana huko kwenye majeshi ya Ministry of internal affairs ya kwetu hakuna haki.....this guy's Wana point kwamba JPM alikataa makusudi kuwapandisha sasa wamezeeka wanaelekea kustaafu tena mapendekezo yamepelekwa majina yao yamekatwa......yaani nilikatwa tu.

Kwa namna hizi njemba zilivyo na uchungu sitegemei kuwaona mwakani walkiwatetea wanasiasa kwenye siasa. Wanatumika vibaya sana

Lakini nimegundua mfumo wa upandishwaji vyeo huko kwao una shida; hakuna haki. Watu wanapandishwa siyo kwa performance bali inategemea upo kundi gani.....na nadhani ndo maana compitence hakuna.

Kama alivyoeleza Jaji Mugisha kuhusu shida ya kuongeza muda kwa Jaji Mkuu nadhani watumishi wa umma wananyanyaswa sana kwenye hii mifumo ya siri ya upandishwaji vyeo.

Lakini pia nimependa kufahamu kwamba wale waliokataliwa kupandishwa na JPM bado wakamshabikia kwenye election wapo wanaumia na watastaafu wakiwa maskini na vyeo duni. Dhambi ya kukwapua uchaguzi haitawaacha vizuri.....baguanene na kulogana hadi mshike adabu.

Kwenye pombe kuna raha sana; hata makamanda wakilewa wanalia kwa sauti......Waone watu na magwanda ukadhani wanaweza kujipigania....ndugu yangu hawa watu wanatesekaaaaaaaa
Na kazi yao ina laana, hata wale rushwa kiasi gani askari wanakufaga maskini.
 
[emoji845]NISAIDIE KUPATA MCHONGO[emoji845]
Nina degree ya
COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT.
[emoji419]Naitafutia uzoefu ili badae niweze kuwa na chochote kwenye CV na kuombea Kazi.
Nisaidie hata Internship tu.
Location :KIGOMA ila kokote kama kuna uhakika mimi nitafika.
[emoji736]Msaada waungwana, mniinue
[emoji736]Taasisi
[emoji736]Social Work
[emoji736]Mashirika(NGOS)
kokote kule aisee
0628849189
 
Back
Top Bottom