Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Utangulizi:
Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya yalikubaliana na mfumo ambao ulikuja kujulikana kama Bretton Woods System.
Bretton Woods System
Kulingana na kwamba kwa kipindi hicho dola ya kimarekani ilikuwa as good as Gold (Yaani ya Uhakika) mataifa haya yalikubaliana kwamba fedha zao (currency) zitakuwa converted kwa kuangalia na kuzingatia dollar ya marekani na wakati huohuo dollar ya Marekani (35 USD) itakuwa equivalent na ounce moja ya dhahabu..., kwahio ni kwamba nchi itaweza kutengeneza pesa kulingana na deposit yake ya dhahabu, na sababu kusafirisha dhahabu ni kazi nchi ambazo zilikuwa zinabadilisha pesa zao zingeweza kutumia equivalency ya dola au hata kama ni dhahabu basi dhahabu hizo pia zingetunzwa USA katika gold deposit.
Mfumo huu ulikuwa mzuri sana sababu nchi isingeweza kutumia / kutengeneza pesa zaidi ya deposit yake ya dhahabu na matumizi yako yakiwa makubwa hivyo na deposit yako ya dhahabu itakwisha. (Living within ones means)
Ufujaji na Matumizi Makubwa ya USA, yalivyopelekea Nchi nyingine Kushituka;
Baada ya hapo USA ilianza matumizi makubwa sana ya pesa, jambo lililopelekea nchi kuanza kushituka ikiwemo Ufaransa kwamba USA inatumia / tengeneza pesa kuliko uwezo wake wa dhahabu iliyopo, hivyo nchi nyingi zikaanza kubadilisha pesa zao kwa dhahabu badala ya dola na tena nyingine zikawa zinataka dhahabu zao zisafirishwe badala ya kutunzwa USA.
USA Ikashituka na chini ya President NIXON (1971) Ikabadilisha Mfumo na Kuzuia mfumo wa Kubadilisha Dola kwa Dhahabu (Bretton Woods System); Eti kwa kisingizio cha kulinda Pesa yao Against Speculation (Kuamia kwenye FIAT Currency System);
View: https://youtu.be/7_Xw5tWsOQo?si=wOX0gac5bJiWlLq3
Kumbuka practically pesa za nchi za duniani zilikuwa based kwenye USA Dollar na USA Dollar ilikuwa based kwenye Gold, kwahio pesa zote zilikuwa based kwenye Gold.., baada ya Nixon kuondoa huu utegemezi ni kwamba kuanzia hapo Pesa zilikuwa hazipo based kwenye kitu chochote cha thamani, na thamani ya pesa imekuwa ni Serikali ndio inalazimisha kwamba iwe kiasi fulani....
USA Imekuwa Ikitumia Pesa (Bajeti) Zaidi ya Makusanyo kuanzia 1971
Tangia kipindi hicho cha FIAT Currency USA imekuwa ikitumia / bajeti zaidi ya makusanyo na kinachotokea ni kama ifuatavyo;
Dunia Nzima inshiriki kwenye hii Ponzi Scheme...
Nchi nyingi duniani zinawauzia USA vitu vyao tofauti kwa kubadilishana na Dola; kwahio Dola nyingi zimekuwa zikitoka USA na kwenda kwenye hizi nchi; kama nchi hizo zingebadilisha dola hizo kwa pesa zao huenda pesa zao zingekuwa na nguvu kuliko dola hivyo bidhaa zao kuwa na gharama zaidi.., hivyo wanachofanya ni kujitahidi pesa zao zisiwe na nguvu sana; kwahio wanachofanya ni kama ifuatavyo;
Na siku dollar ikienda Belly Up Dunia nzima itapata mshituko sababu duniani nchi nyingi zimeweka savings zao kwenye hii DECI iliyochangamka....

- Serikali inakopa kutoka Federal Reserves pesa yoyote inayotaka na Inatoa Government Bonds (ambazo in theory inakuwa inadaiwa na itakuja izilipe ile practically sababu inakopa na kukopa bila kuzalisha ilichokopa ni kwamba hii ni Ponzi Scheme) Dollar zinakuwa printed kulingana na Serikali inavyotaka na kinachotolewa ni ahadi ya Kulipa, na zile pesa inazokopa ni kulipa baadhi ya hio mikopo na nyingine kutumbua
- Federal Reserves inachapisha pesa kulingana na Mahitaji ya Mkopaji (USA)
- Treasury inatoa Government Bonds kulingana na hio Mikopo
- Serikali inatumia hizo Pesa ilizokopa kwa kulipa baadhi ya mikopo iliyopita na nyingine kutumbua
- Treasury na Federal Reserves inauza zile government bonds, kwa benki tofauti za nchi tofauti, Pension Funds na mpaka watu binafsi
- Kwa wanaonunua hizi Bonds ni Risk Free sababu kwenye huu mfumo kabla haujaenda belly up ni kama unaikopesha USA Government
Dunia Nzima inshiriki kwenye hii Ponzi Scheme...
Nchi nyingi duniani zinawauzia USA vitu vyao tofauti kwa kubadilishana na Dola; kwahio Dola nyingi zimekuwa zikitoka USA na kwenda kwenye hizi nchi; kama nchi hizo zingebadilisha dola hizo kwa pesa zao huenda pesa zao zingekuwa na nguvu kuliko dola hivyo bidhaa zao kuwa na gharama zaidi.., hivyo wanachofanya ni kujitahidi pesa zao zisiwe na nguvu sana; kwahio wanachofanya ni kama ifuatavyo;
- Wanauza bidhaa zao USA na wanapata Dola
- Faida wanayopata wanaitumia kununua USA Government Bonds (in short ni kama wanaikopesha USA)
- USA anaendelea kukopa kutoka Federal Reserves ambayo inachapisha dola za kuwapa wanunuzi na hao wanunuzi wanatumia hizo dola kununua USA Government Bonds