Mfumo wa USA Dollar ulivyoanza kutumika Duniani, na Kupelekea Dunia Kuchezeshwa DECI (Ponzi Scheme)

Mfumo wa USA Dollar ulivyoanza kutumika Duniani, na Kupelekea Dunia Kuchezeshwa DECI (Ponzi Scheme)

Kumbuka nchi karibia zote duniani zinadaiwa na WB ama IMF...in terms of dolar.kwamba madeni yalipwe kwa dola. Una epuka vp huo mtego?

Unakumbuka vita vya Ukraine vilivyopoanza walimuwekea vikwazo Urusi na wakamwambia alipe madeni yake kwa USD. Russia akakataa. Aliwaambia wanunuzi kutoka Ulaya wote walipie gesi na mafuta walipie kwa Ruble.

Nafikiri ukiwa na uchumi mkubwa na uwezo wa kufanya biashara na washirika wengine unaweza kutoboa.
 
Ni alternative nzuri ya kuwa na options ila ndio hivyo hizi pesa za makaratasi value yake inategemea watumiaji kama wataona kweli hio ndio value..., sababu hata Euro walikuwa na Pesa yao ila haikufua dafu na watu, bado waliona Dollar ndio bora zaidi...; Hata Africa tungekuwa hatuna ubinafsi na umimi na tungekuwa tunapenda kununuliana vitu tungeweza hata kuwa na Pesa yetu ya Africa........

Nadhani cha maana kama nchi tuache kutegemea hizi pesa za kigeni kama ndio kila kitu na kuweza kufanya hivyo inabidi kuwa na uwezo wa anagalau kujitegemea na sio kila unachotaka lazima ukitoe nje..., vilevile kama nilivyosema nchi nyingi wala hazitaki pesa zao ziwe na nguvu zaidi ya dola (kama wewe ni mzalishaji pesa yako ikiwa na nguvu sana basi bidhaa zako zinakuwa na gharama) huo ndio mchezo anaofanya CHiNA always anacheza na pesa yake iwe below dollar....

Gaddafi wa Libya alitaka kuanzisha huu mfumo wa pesa ya Afrika ilkiwa backed na Gold pamoja na mfumo mpya kabisa wa Benki ya Afrika, system za ku-settle transactions ya pesa tofauti za nchi tofauti za Afrika na Mifumo kama ya Swift na bank of Settlement.

Kikwazo kikubwa ni USA, watajaribu kila njia kuwaondoa wanaojaribu kuleta another altenative.

Ila kama majority ya nchi nyingi zenye nguvu wakikubaliana USA hataweza kufanikiwa kuwasambaratisha.

Nina uhakika, ni inevitable ndani ya miaka 50 ijao dunia itakuwa na mfumo mwingine.

Ukiangalia trends za uchumi, population, elimu, military power, technology kusambaa, nchi kujitambua nk.
 
BRICS naona kama wamepandikiziwa kirusi,mwendelezo unaanza kuwashinda.
 
Utangulizi:
Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya yalikubaliana na mfumo ambao ulikuja kujulikana kama Bretton Woods System.

Bretton Woods System

Kulingana na kwamba kwa kipindi hicho dola ya kimarekani ilikuwa as good as Gold (Yaani ya Uhakika) mataifa haya yalikubaliana kwamba fedha zao (currency) zitakuwa converted kwa kuangalia na kuzingatia dollar ya marekani na wakati huohuo dollar ya Marekani (35 USD) itakuwa equivalent na ounce moja ya dhahabu..., kwahio ni kwamba nchi itaweza kutengeneza pesa kulingana na deposit yake ya dhahabu, na sababu kusafirisha dhahabu ni kazi nchi ambazo zilikuwa zinabadilisha pesa zao zingeweza kutumia equivalency ya dola au hata kama ni dhahabu basi dhahabu hizo pia zingetunzwa USA katika gold deposit.

Mfumo huu ulikuwa mzuri sana sababu nchi isingeweza kutumia / kutengeneza pesa zaidi ya deposit yake ya dhahabu na matumizi yako yakiwa makubwa hivyo na deposit yako ya dhahabu itakwisha. (Living within ones means)

Ufujaji na Matumizi Makubwa ya USA, yalivyopelekea Nchi nyingine Kushituka;
Baada ya hapo USA ilianza matumizi makubwa sana ya pesa, jambo lililopelekea nchi kuanza kushituka ikiwemo Ufaransa kwamba USA inatumia / tengeneza pesa kuliko uwezo wake wa dhahabu iliyopo, hivyo nchi nyingi zikaanza kubadilisha pesa zao kwa dhahabu badala ya dola na tena nyingine zikawa zinataka dhahabu zao zisafirishwe badala ya kutunzwa USA.

USA Ikashituka na chini ya President NIXON (1971) Ikabadilisha Mfumo na Kuzuia mfumo wa Kubadilisha Dola kwa Dhahabu (Bretton Woods System); Eti kwa kisingizio cha kulinda Pesa yao Against Speculation (Kuamia kwenye FIAT Currency System);

View: https://youtu.be/7_Xw5tWsOQo?si=wOX0gac5bJiWlLq3
Kumbuka practically pesa za nchi za duniani zilikuwa based kwenye USA Dollar na USA Dollar ilikuwa based kwenye Gold, kwahio pesa zote zilikuwa based kwenye Gold.., baada ya Nixon kuondoa huu utegemezi ni kwamba kuanzia hapo Pesa zilikuwa hazipo based kwenye kitu chochote cha thamani, na thamani ya pesa imekuwa ni Serikali ndio inalazimisha kwamba iwe kiasi fulani....

USA Imekuwa Ikitumia Pesa (Bajeti) Zaidi ya Makusanyo kuanzia 1971
Tangia kipindi hicho cha FIAT Currency USA imekuwa ikitumia / bajeti zaidi ya makusanyo na kinachotokea ni kama ifuatavyo;
  • Serikali inakopa kutoka Federal Reserves pesa yoyote inayotaka na Inatoa Government Bonds (ambazo in theory inakuwa inadaiwa na itakuja izilipe ile practically sababu inakopa na kukopa bila kuzalisha ilichokopa ni kwamba hii ni Ponzi Scheme) Dollar zinakuwa printed kulingana na Serikali inavyotaka na kinachotolewa ni ahadi ya Kulipa, na zile pesa inazokopa ni kulipa baadhi ya hio mikopo na nyingine kutumbua
  • Federal Reserves inachapisha pesa kulingana na Mahitaji ya Mkopaji (USA)
  • Treasury inatoa Government Bonds kulingana na hio Mikopo
  • Serikali inatumia hizo Pesa ilizokopa kwa kulipa baadhi ya mikopo iliyopita na nyingine kutumbua
  • Treasury na Federal Reserves inauza zile government bonds, kwa benki tofauti za nchi tofauti, Pension Funds na mpaka watu binafsi
  • Kwa wanaonunua hizi Bonds ni Risk Free sababu kwenye huu mfumo kabla haujaenda belly up ni kama unaikopesha USA Government
Cha kujiuliza hizo Pesa zinatoka wapi kama kinachotokea ni kuchukua mikopo ili kulipa madeni na kutumia na matumizi yako ni zaidi ya kipato chako ? Jibu hii ni Ponzi Scheme

Dunia Nzima inshiriki kwenye hii Ponzi Scheme...

Nchi nyingi duniani zinawauzia USA vitu vyao tofauti kwa kubadilishana na Dola; kwahio Dola nyingi zimekuwa zikitoka USA na kwenda kwenye hizi nchi; kama nchi hizo zingebadilisha dola hizo kwa pesa zao huenda pesa zao zingekuwa na nguvu kuliko dola hivyo bidhaa zao kuwa na gharama zaidi.., hivyo wanachofanya ni kujitahidi pesa zao zisiwe na nguvu sana; kwahio wanachofanya ni kama ifuatavyo;
  • Wanauza bidhaa zao USA na wanapata Dola
  • Faida wanayopata wanaitumia kununua USA Government Bonds (in short ni kama wanaikopesha USA)
  • USA anaendelea kukopa kutoka Federal Reserves ambayo inachapisha dola za kuwapa wanunuzi na hao wanunuzi wanatumia hizo dola kununua USA Government Bonds
Kwa Ufupi hiki ndicho kinachoendelea na ndio maana pesa inazidi kushuka thamani, tupo katikati ya DESI na kama alivyosema Voltaire; , “Paper money eventually returns to its intrinsic value—zero”.

Na siku dollar ikienda Belly Up Dunia nzima itapata mshituko sababu duniani nchi nyingi zimeweka savings zao kwenye hii DECI iliyochangamka....

Haya sasa ndio mambo ya msingi ambayo ubongo wangu unayahitaji, sio siasa.
 
BRICS wanapanga kuja na utaratibu mwingine usiotumia dollar. Vipi maoni yako? watafanikiwa?
Wabunge Congress USA walikaa Kikao mwaka jana mwezi wa Sita kuangalia hii issue ambao kwao walisema ni Tishio..., Pamoja na kuwa na egos za ajabu ajabu lakini baadi walielezea hatari kwa uchumi wao
Maneno ya wabunge
....................................................................................​
Luetkemeyer boasted of the many “economic advantages” that dollar hegemony gives to the United States:

The US dollar has been the preferred global currency since the end of World War Two, providing our nation inherent economic advantages, as well as responsibilities.

Today, an estimated 88% of all currency transactions by value are conducted in US dollars. Among other things, this limits the risk of a balance of payments crisis, which inherently lowers our exchange rate risk.

The dollar’s position also allows the United States and Americans to borrow at rates such as 50 to 60 basis points lower. Our currency strength not only benefits the United States government, but also helps American consumers by lowering the price of imported goods, resulting in an estimated $25 to $45 billion a year in savings.

Beatty’s rhetoric was less aggressive than that of Luetkemeyer, but she essentially echoed the same talking points, stating:

The dominance and supremacy of the currency affords the United States numerous benefits, from reduced borrowing costs, to increased financial stability, to influence over global financial markets.

It also allows us to leverage economic measures against those that seek to threaten our national security and foreign policy. Given the undeniable value of the U.S. dollar’s dominance, it is critical that we address the currency and the present threats to it.

As we speak, foreign adversaries like Russia and China are actively working to undermine the U.S. dollar and cripple our global power and influence. We see this in Russia’s rapid accumulation of gold reserves over the last decade, as well as China’s development of non-SWIFT systems to settle and clear transactions involving the RMB.

Furthermore, several other countries are pushing efforts to bypass use of the U.S. dollar and the U.S.-led financial system.
That is why I agree that the subject of this hearing unquestionably deserves our time and attention in Congress and in this subcommittee.
Marshall Billingslea, the Treasury’s assistant secretary for terrorist financing under Trump, who also previously worked in the Pentagon, expressed concern that the central banks of China and Russia have been de-dollarizing their foreign-exchange reserves and instead buying other assets, such as gold, which cannot be easily sanctioned:

If we look at what Russia did in the run-up to its further invasion of Ukraine, they began dumping ownership of Treasury bonds in 2018. In that year, they plummeted from $96 billion in holdings down to $15 billion.

And they also started buying large amounts of gold. China is now … embarking on its own gold-buying spree. I haven’t seen the data for May, but April marked the sixth straight month of Chinese expansion in its gold holdings. And I’m not sure I believe the official figures. We have to recall that China is the dominant gold-mining player around the world, and half of those gold-mining companies are state-owned.

So the actual size of China’s war chest, when it comes to gold reserves, may be far higher, in fact I suspect inevitably far higher than official numbers suggest. Last year, China also started dumping its treasuries. 2022 marked the largest or second-largest decrease on record, with a drop of about $174 billion, and China stood at the lowest level since 2010 in terms of its holdings.
Kim singled out the currency swap-line agreements that the People’s Bank of China has signed with the central banks of other countries, such as Argentina, which is a way for Beijing to give liquidity or credit in yuan, bypassing Washington-dominated financial institutions like the SWIFT inter-bank messaging system:

We should all be troubled by the increase of central bank swap-line agreements deployed by the People’s Bank of China [PBOC].

According to a 2021 PBOC report, it said that it has swap facilities with 40 countries, with a combined capacity of almost 4 trillion yuan, or about $570 billion dollars.

And just a few days ago, Argentina, a country facing a deep currency devaluation and 109% annual inflation, they announced a deal to renew its currency swap line with China and double the amount it can access to nearly $10 billion dollars.

So the PBOC justifies the swap lines as a way to force countries to utilize the yuan as a method of exchange. So I want to ask you, Mr. Billingslea, instead of liberalizing its capital account and allowing the yuan to be fully convertible into the currency exchange markets, the CCP has opted to increase its bilateral swap-line agreements to further internationalize its currency.
So is there anything that the United States can do to slow down or reduce adaptation of the PBOC’s currency swap lines?
Also present in the hearing was Daniel McDowell, an associate professor in the political science department at Syracuse University in New York, and author of the book “Bucking the Buck: US Financial Sanctions and the International Backlash Against the Dollar”.

McDowell argued that, by imposing more and more sanctions on countries around the world, Washington is actually weakening the dominance of the dollar.

The US has sanctions on nations that represent more than one-third of the global population and 29% of the world’s GDP.

McDowell explained:

Dollar preeminence and U.S. financial centrality are not without consequence for American coercive power, as you all know.
With little more than the stroke of the president’s pen, or through an act of Congress, the U.S. government can use financial sanctions to impose enormous economic costs on targeted foreign actors, be they individuals, firms, or state institutions, by freezing their dollar assets or cutting them off from access to the banks through which those dollars flow.

As the United States has increased its reliance on financial sanctions as a tool of foreign policy, it has provoked anti-dollar policy responses from our adversaries. Though such steps are unlikely to upend the dollar’s position as top international currency, including the reserve currency role, over time such policies could diminish the coercive capabilities that the United States derives from dollar centrality.

Over the last two decades, the United States has used the tool of financial sanctions with increasing frequency. For example, in the year 2000 just four foreign governments were directly targeted under the U.S. Treasury country program, overseen by the Office of Foreign Assets Control, or OFAC. Today, that number is greater than 20; and if we include penalties from secondary sanctions, the list gets even longer.

The more that the United States has reached for financial sanctions, the more it has made adversaries in foreign capitals
aware of the strategic vulnerability that stems from dependence on the dollar. Some governments have responded by implementing anti-dollar policies, measures that are designed to reduce an economy’s reliance on the U.S. currency for investment and cross-border transactions.

While these measures sometimes fail to achieve their goals, others have produced modest levels of de-dollarization.
Notable examples here include Russian steps to cut its dollar reserves and reduce the use of the dollar in trade settlement in the years leading up to its full-scale invasion of Ukraine,
or China’s ongoing efforts to build its own international payments network based on the yuan – efforts that have taken on a new sense of urgency as Beijing has become more aware of its own strategic vulnerabilities from dollar dependence.

The growing number of states espousing anti-dollar viewpoints and adopting anti-dollar policies does threaten to weaken the future potency of U.S. financial sanctions.

Finally, whenever possible, U.S. financial sanctions should be coordinated with our allies in Europe and Asia, who should feel as if they are key stakeholders in the dollar system, and not vassals to it.
 
Hapa kuna mambo mawili Bonds ukinunua unapewa na Interest yaani kile ulichonunua na faida..., Gold ukiwa nayo inategemea kipindi utakapotaka kuuza itakuwa ni bei gani (hakuna Interest ) Moja ni uhakika sio DECI nyingine inaweza kuwa DECI ikaporomoka na kushindwa kulipwa...

Pili kutokana na kwamba watu wengi wanaomiliki GOLD sio kwamba wanazo nyumbani yaani zipo Central Bank na wenyewe wana document tu kwamba wanazo (Banks) zimekuwa zikifanya utapeli wa kuwauzia watu Gold zilezile yaani mnawezekana mpo watu ishirini wote mnadhani mna gold bars mia mia ila kumbe zipo mia mbili tu na kila mtu anazo kumi kumi au wakichukua wawili zao wengine mnabakia kushangaa....

Na hicho ndicho alichofanya USA baada ya kuongopa kwamba kila mtu angekuja kubadilisha Dollars na Gold iliyopo kulikuwa kuna zaidi ya mara nne ya dollar kuliko depost ya Gold...

In short hii dunia ujanja ujanjua na utapeli ni mwingi sana....; Ila kama Dunia na Mfumo wa kifedha Imara inabidi turudi kwenye kitu chenye value ndio kiwe standard ya Pesa... hata ikiwa Silver, Gold au chochote kile na sio matakwa ya Serikali kuchapisha fedha kila inapopata shida.... (Na kufanya hivyo kutaleta umakini katika matumizi sababu watashindwa kuchapisha pesa kuliko deposit ya kitu chenye intrisic value ; yaani value in itself)

View attachment 3141620
Nilivyo kuelewa mimi.
Batter trade ndio mfumo halisi usio na dhulma. Unanipa mbuzi nakupa mahindi
Badala kunipa makaratasi uliochapa.
Batter teade iliondolewa na wahuni kudhulumu wengine. Hayo manhunu ya ulaya wanamiliki makaratasi.
Wizi mwingine unafanyika kwenye silaha. Kila mwaka unauziwa masilaha ambayo hujawahi yatumia na inawezekana usiyatumie, kazi yako inayobaki ni kutunza hayo masilaha kununua vipuri na kulipia gharama za wataalamu wa kutunza hayo masilaha ambayo ni kiini macho.
Baada ya miaka wanaunda masilaha mengine yale yanapitwa na wakati inabidi ununue mengine upeleke na wataalamu wa kuyatumia wawafundishe.
Badala ya kununua mashine za kulimia unanunua machuma ya kuweka bohari na wala vita haitokei na ikitokea ni hao hao wenye silaha ndio chanzo.
Kitu kingine wameweka class ya vitu na kuuza kwa bei kubwa mfano magari. Utasikia hayo magari ni ya kitajiri ila cha ajabu gari ya kitajiri imeundwa na chuma kilekille, plastiki zile zile, ngozi zile zile, vitambaa vile vile, rangi zile sile. Hi tujiulize kuna malighafi za tofauti zinazozalisha gari za kitajiri ? Jibu ni hamna huo ni utapeli wa kimagharibi kuibia mazwazwa hasa weusi na warabu.
Unauziwa majina ya magari. Bahati mbaya sana watetezi wa wazungu ni mtu mweusi. Mtu mweusi ni kiumbe cha ajabu sana.
 
Nadhani cha maana kama nchi tuache kutegemea hizi pesa za kigeni kama ndio kila kitu na kuweza kufanya hivyo inabidi kuwa na uwezo wa anagalau kujitegemea na sio kila unachotaka lazima ukitoe nje.
Uko sahihi ila wazungu wanatamka wazi hawawezi kuruhusu Afrika ijitegemee. Wanadai walifanya kosa kwa nchi za Asia sasa ikitokea Afrika wao watashindwa kuishi maana hawatauza bidhaa zao ukizingatia wao sio wengi na baina ya nchi zao wanaunda vitu vinavyo fanana mfano magari viwanda.
Kwa hio wanatumia kila hila kuzuia sisi kujitegemea na kudhibiti viongozi wetu.
 
Nilivyo kuelewa mimi.
Batter trade ndio mfumo halisi usio na dhulma. Unanipa mbuzi nakupa mahindi
Badala kunipa makaratasi uliochapa.
Barter trade ni ngumu kuanza kunipa mimi mahindi ili nikupe mbuzi inawezekana trade ikachukua muda mrefu zaidi kwahio kuna kipindi watu walitumia sarafu hizo hizo, gold au silver na wafua vyuma goldsmiths sababu walikuwa na masefu ya kuweka hizo gold na sarafu kwao ilikuwa rahisi sana kutoa risiti kwamba bwana fulani ana gold kiasi fulani hivyo apate huduma kwa kiasi fulani cha gold.., hawa blacksmiths wakagundua kwamba huenda kwa wakati husika ni vigumu sana kila mtu kuja kuchukua gold zake..., hivyo wakaanza kutoa makaratasi zaidi hata ya uwezo wa gold uliopo na hii ndio mbinu inayotumiwa na mabenki mpaka leo hii ni kwamba kila mtu akishituka labda nchi inafirisika ni kwamba pesa iliyopo Benki na Watu wanayodai haitoshi...

Theoretically huu mfumo huenda ukawa mzuri iwapo pesa ya kwenye mzunguko ikiwe inatengenezwa kwa njia ya mikopo..., yaani wewe ukienda kuomba mkopo wa bilioni moja (benki hawana bilioni moja) ila wanakukopesha hio bilioni moja plus commission; sasa ukienda kuzalisha hio bilioni moja kitaa ni kwamba kwa nguvu zako wewe utakuwa umeongeza bilioni moja kwenye mzungoko na kuwapa benki faida yao (commission)...

Ingawa kinachotokea USA sio hivyo Serikali inakopa haizalishi bali kuwalipa waliokopa juzi na nyingine kuzitumia (Ponzi Scheme)
Batter teade iliondolewa na wahuni kudhulumu wengine. Hayo manhunu ya ulaya wanamiliki makaratasi.
Huu mfumo ulivyoanza ni kwamba ulikuwa umewekwa kwamba pesa zifuate dollar na dollar ifuate gold; hivyo hata USA asingeweza kuprint pesa nyingi kuliko deposit yake aliyonayo (Ila USA kwa ujanja akawa anaprint pesa kuliko deposit yake) alifanya Utapeli; watu kushituka na kuanza kutumia gold kama exchange na sio dollar (1971) Nixon akaondoa utegemezi kwenye dollar sababu dollar zilikuwepo nyingi kitaa kuliko uwezo wake wa gold...

Kwahio kuanzia hapo ni kwamba anaprint madollar anavyotaka (kila mwaka matumizi yake yanazipo mapato); na dunia nzima ndio inayomkopesha (kwa kuwauzia government bonds) hivyo mikopo yake ni ya bei nafuu sana na siku dollar ikifa nchi nyingi zitaingia kwenye shida sababu savings za nchi nyingi zipo kwenye hizi Bonds

Ingawa huenda ameanza kujifunga mwenyewe kwa kuanza kutumia sana dollar kama silaha (kuwawekea vikwazo nchi kama Urusi na kuchukua pesa zako zilizopo USA) kumefanya watu kuwa waoga sababu siku ukikosana na USA pesa zako zitashikiliwa... Kwahio watu wameendelea kuwaza Dedolarization...
Wizi mwingine unafanyika kwenye silaha. Kila mwaka unauziwa masilaha ambayo hujawahi yatumia na inawezekana usiyatumie, kazi yako inayobaki ni kutunza hayo masilaha kununua vipuri na kulipia gharama za wataalamu wa kutunza hayo masilaha ambayo ni kiini macho.
Naam hii wametumia sana hata UK kwa kuwauzia waarabu huko Middle East kwa kuwaonga viongozi wao.., BAE walitaka kumpa issue Regan ya ma bilioni ya pesa kuwauzia silaha Regan akaona noma sababu washikaji zao Israel hawatapenda..., Regan akampa pande Margaret Thatcher na hio tender iliwafaidisha sana UK na pamoja na BAE kutoa Hongo za kufa mtu kwa Prince Banda yaani walitoa Hongo ya Poundi Bilioni Moja, sasa imagine hio tenda ilikuwa ni ya kiasi gani;
Baada ya miaka wanaunda masilaha mengine yale yanapitwa na wakati inabidi ununue mengine upeleke na wataalamu wa kuyatumia wawafundishe.
Badala ya kununua mashine za kulimia unanunua machuma ya kuweka bohari na wala vita haitokei na ikitokea ni hao hao wenye silaha ndio chanzo.
Kitu kingine wameweka class ya vitu na kuuza kwa bei kubwa mfano magari. Utasikia hayo magari ni ya kitajiri ila cha ajabu gari ya kitajiri imeundwa na chuma kilekille, plastiki zile zile, ngozi zile zile, vitambaa vile vile, rangi zile sile. Hi tujiulize kuna malighafi za tofauti zinazozalisha gari za kitajiri ? Jibu ni hamna huo ni utapeli wa kimagharibi kuibia mazwazwa hasa weusi na warabu.
Unauziwa majina ya magari. Bahati mbaya sana watetezi wa wazungu ni mtu mweusi. Mtu mweusi ni kiumbe cha ajabu sana.
Ingawa kwa hili siwalaumu wao bali watu wetu ambao wamekuwa walafi kuwaza kupata vijisenti badala ya ustawi wa jamii ya leo na kesho...

Hata sisi tulitaka kununua Radar huko ila hata baadhi ya watu wa huko wakatushangaa (Yaani wao wana uchungu kuliko hata sisi

ivyo wakaanza kutoa makaratasi zaidi hata ya uwezo wa gold uliopo na hii ndio mbinu inayotumiwa na mabenki mpaka leo hii ni kwamba kila mtu akishituka labda nchi inafirisika ni kwamba pesa iliyopo Benki na Watu wanayodai haitoshi...
Seriksli ina print pesa kwa kuthamanisha na nini ? Kama sio ule ule wizi wa kuchapa dollar.
 
Seriksli ina print pesa kwa kuthamanisha na nini ? Kama sio ule ule wizi wa kuchapa dollar.
Naam huu ndio mfumo wa kisasa unaotumiwa na Dunia (FIAT Money) ambao kweli ni Desi ila huku angalau kwenye mfumo halisi (best case scenario) ni kwamba Mabenki ndio yanatengeneza pesa; Na sio Serikali kutumia pesa zaidi ya makusanyo na kuchapisha kila wanavyojisikia na kutengeneza Bonds...,

Na huo mfumo ni kwamba ukienda Benki pesa unazopewa sio kwamba benki anazo ila ukianza kulipa ndio wewe unaziongeza kwenye mzunguko... (Huo bado ni wizi ila bora huu wizi kuliko wizi wa USA, wa kufanya dunia nzima wacheze Desi yao na kujipatia mikopo ya Bei rahisi kuliko wengine) wakati sisi tunakopeshwa na kina IMF na wajukuu mpaka wajukuu wanalipa..., USA wao wanachapisha kwa kutoa Government Bonds ambazo marejesho yake ni madogo na wanarejesha kwa kuprint madollar mengine... (Yaani matumizi yao ukilinganisha na mapato ni mara mbili kuliko nchi nyingine yoyote)
 
Romour has it kwamba hio 1971 Nixon alikuwa hana Choice ni kwamba USA kwenye deposit walikuwa wana Gold ambayo ina thamani ya 10 Billion Dollars wakati sehemu Benki Kuu tofauti katika nchi tofauti zilikuwa na thamani ya 40 billion yaani zaidi ya mara nne ambayo hawa watu walijua zipo USA zilikuwa hazipo....
Kikawaramba
 
Utangulizi:
Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya yalikubaliana na mfumo ambao ulikuja kujulikana kama Bretton Woods System.

Bretton Woods System

Kulingana na kwamba kwa kipindi hicho dola ya kimarekani ilikuwa as good as Gold (Yaani ya Uhakika) mataifa haya yalikubaliana kwamba fedha zao (currency) zitakuwa converted kwa kuangalia na kuzingatia dollar ya marekani na wakati huohuo dollar ya Marekani (35 USD) itakuwa equivalent na ounce moja ya dhahabu..., kwahio ni kwamba nchi itaweza kutengeneza pesa kulingana na deposit yake ya dhahabu, na sababu kusafirisha dhahabu ni kazi nchi ambazo zilikuwa zinabadilisha pesa zao zingeweza kutumia equivalency ya dola au hata kama ni dhahabu basi dhahabu hizo pia zingetunzwa USA katika gold deposit.

Mfumo huu ulikuwa mzuri sana sababu nchi isingeweza kutumia / kutengeneza pesa zaidi ya deposit yake ya dhahabu na matumizi yako yakiwa makubwa hivyo na deposit yako ya dhahabu itakwisha. (Living within ones means)

Ufujaji na Matumizi Makubwa ya USA, yalivyopelekea Nchi nyingine Kushituka;
Baada ya hapo USA ilianza matumizi makubwa sana ya pesa, jambo lililopelekea nchi kuanza kushituka ikiwemo Ufaransa kwamba USA inatumia / tengeneza pesa kuliko uwezo wake wa dhahabu iliyopo, hivyo nchi nyingi zikaanza kubadilisha pesa zao kwa dhahabu badala ya dola na tena nyingine zikawa zinataka dhahabu zao zisafirishwe badala ya kutunzwa USA.

USA Ikashituka na chini ya President NIXON (1971) Ikabadilisha Mfumo na Kuzuia mfumo wa Kubadilisha Dola kwa Dhahabu (Bretton Woods System); Eti kwa kisingizio cha kulinda Pesa yao Against Speculation (Kuamia kwenye FIAT Currency System);

View: https://youtu.be/7_Xw5tWsOQo?si=wOX0gac5bJiWlLq3
Kumbuka practically pesa za nchi za duniani zilikuwa based kwenye USA Dollar na USA Dollar ilikuwa based kwenye Gold, kwahio pesa zote zilikuwa based kwenye Gold.., baada ya Nixon kuondoa huu utegemezi ni kwamba kuanzia hapo Pesa zilikuwa hazipo based kwenye kitu chochote cha thamani, na thamani ya pesa imekuwa ni Serikali ndio inalazimisha kwamba iwe kiasi fulani....

USA Imekuwa Ikitumia Pesa (Bajeti) Zaidi ya Makusanyo kuanzia 1971
Tangia kipindi hicho cha FIAT Currency USA imekuwa ikitumia / bajeti zaidi ya makusanyo na kinachotokea ni kama ifuatavyo;
  • Serikali inakopa kutoka Federal Reserves pesa yoyote inayotaka na Inatoa Government Bonds (ambazo in theory inakuwa inadaiwa na itakuja izilipe ile practically sababu inakopa na kukopa bila kuzalisha ilichokopa ni kwamba hii ni Ponzi Scheme) Dollar zinakuwa printed kulingana na Serikali inavyotaka na kinachotolewa ni ahadi ya Kulipa, na zile pesa inazokopa ni kulipa baadhi ya hio mikopo na nyingine kutumbua
  • Federal Reserves inachapisha pesa kulingana na Mahitaji ya Mkopaji (USA)
  • Treasury inatoa Government Bonds kulingana na hio Mikopo
  • Serikali inatumia hizo Pesa ilizokopa kwa kulipa baadhi ya mikopo iliyopita na nyingine kutumbua
  • Treasury na Federal Reserves inauza zile government bonds, kwa benki tofauti za nchi tofauti, Pension Funds na mpaka watu binafsi
  • Kwa wanaonunua hizi Bonds ni Risk Free sababu kwenye huu mfumo kabla haujaenda belly up ni kama unaikopesha USA Government
Cha kujiuliza hizo Pesa zinatoka wapi kama kinachotokea ni kuchukua mikopo ili kulipa madeni na kutumia na matumizi yako ni zaidi ya kipato chako ? Jibu hii ni Ponzi Scheme

Dunia Nzima inshiriki kwenye hii Ponzi Scheme...

Nchi nyingi duniani zinawauzia USA vitu vyao tofauti kwa kubadilishana na Dola; kwahio Dola nyingi zimekuwa zikitoka USA na kwenda kwenye hizi nchi; kama nchi hizo zingebadilisha dola hizo kwa pesa zao huenda pesa zao zingekuwa na nguvu kuliko dola hivyo bidhaa zao kuwa na gharama zaidi.., hivyo wanachofanya ni kujitahidi pesa zao zisiwe na nguvu sana; kwahio wanachofanya ni kama ifuatavyo;
  • Wanauza bidhaa zao USA na wanapata Dola
  • Faida wanayopata wanaitumia kununua USA Government Bonds (in short ni kama wanaikopesha USA)
  • USA anaendelea kukopa kutoka Federal Reserves ambayo inachapisha dola za kuwapa wanunuzi na hao wanunuzi wanatumia hizo dola kununua USA Government Bonds
Kwa Ufupi hiki ndicho kinachoendelea na ndio maana pesa inazidi kushuka thamani, tupo katikati ya DESI na kama alivyosema Voltaire; , “Paper money eventually returns to its intrinsic value—zero”.

Na siku dollar ikienda Belly Up Dunia nzima itapata mshituko sababu duniani nchi nyingi zimeweka savings zao kwenye hii DECI iliyochangamka....

Hahaa US katufanya dunia nzima matahira kumbe
 
Huu uzi una madini kinoma lakini nashangaa hadi leo haujaenda sana.

Wale Pro-US siwaoni kabisa humu
 
Back
Top Bottom