Bujibuji mafuriko
Member
- Aug 5, 2022
- 88
- 119
Miaka kadhaa nyuma tulipewa ushauri na mwana JF. Sijasahau hoja zile.
Alisema mambo mawili matatu.
Mosi, ukuaji uchumi wa nchi, pili kupambana na kero kwa wasafiri na mwisho kujenga taswira na mvuto kwenye uwekezaji.
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, mabadiliko kwenye uwekezaji Kwa maana ya coaster, na madaladala makubwa mjini yanakuwa kama kampuni. Hii itawaondoa wenye daladala mojamoja ambao Kwa kweli hapa ndipo vita ilipo. Nakumbuka Mzee jakaya alisema watu wanajitafutia rizki akiungwa mkono na wanachama wa wamiliki wa mabas hayo jijini DSM.
Ikumbukwe matumizi ya hiarce yalipoishia mijini, hizi daladala haziwez kwisha Kwa mtindo ule.
Angalia majiji kama Mumbai India mrundikano wa watu, bajaji, pikipiki, machinga, wauza nyanya nk wote wamejaa eneo Moja, barabarani si bajaji, si nini ni adha kubwa, ajali ni nyingi Sana India.
Taswira mbaya Sana kati ya Mumbai, Lagos nk.
New York siichukulii kama mfano sahihi lkn Angalia miji ambayo wanatumia makampuni kusafirisha abiria mijini, hupati daladala huko. Sio Lazima kufanya hii kitu nchi nzima, sampo yajiji kama DSM, Arusha,mwanza nk Ili watakao ondondolewa na Ile force waendee miji mingine.
Kwa mfano. Kampuni X inachukua route zake kadhaa. Jijini DSM, Watafungua ofisi tukakate tiketi/KADI . Kwamfn KADI ya mwezi mzima. Hii ni safi Sana Kwa wafanyakazi, wafanyabiashara Kwa kuwa watakuwa na uhakika wa kusafiri mwezi mzima. Hii wengine watatengeneza electronic card. Tunaswarp tu hakuna cha kondakta.
Kule tukuyu, misenyi,kahamia,mikindani makondaktra na daladala zitakuwa huko. Nk.
Hiki ndicho alichoshauri mwana JF yule.